Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Pamoja mkuu.
Mie mwenyewe nilikuwa naipitia kwa machale, but nashukuru imeisha na nimejua mwisho wake, jisevie tu episode zote zipo hapa
Kweli hapa ni roho mkononi, Betty na upendo wa aina yake.., nani yuko tayari kufa kwa ajili ya furaha ya rafiki yake?? Honestly speaking.., I'm not ready