Hii story ni nzur mno, bt muwe mnaandika quotation coz hii ni plagiarism, ulichobadili ni majina na mwanzo kwamba ulikuwa ukitumia sigara na kuna mwingne pia ariiba akaandika alikuwa anatumia pombe huko insta na nilivyomwambia kama cyo yake akaniblock, naona ww umeamua kumodify kwa majina ya wahusika, mtunzi kabisa mdada aliitwa betina, ww ukaamua kukata jina kwa mbele na yy aliandika english na kwa vile watz wavivu au wengi hawafahamu ngeli basi ulivyotafsiri ukaonekana kama mtunzi ni ww. Bt watz tujifunz kuappreciate cha wenzetu na cyo kuiba na kukifanya chetu tutakuwa hatuendelee kwa wenzetu kwa hili ulitakiwa uwejela nw... sorry for interruption