Riwaya: Nitakupata tu

Uandishi wako ulifanya tujuane kama watu tunao onana na kuzungumza kila siku umeondoka ila ramani uliyo ichora na athali ulizoziweka moyoni petu itachukua muda kufutika .Juzi tu ulitoa bandiko kuwa unaumwa na nikakupa pole na kukutakia uponaji wa haraka nawe ukanijibu ibra kwa mungu tumetoka na kwake tutarejea umetangulia ndugu yetu ipo siku nasi tutarejea huko.
 
Jamani ni kweli IBRAHIM MASIMBA amefariki!! Jamani huyu jamaa si mwaka huu alifiwa na mchumba wake pia...oohh Mungu wangu kwa nn haya tena kwa Ibra!! R.I.P IBRA
 
Jamani ni kweli IBRAHIM MASIMBA amefariki!! Jamani huyu jamaa si mwaka huu alifiwa na mchumba wake pia...oohh Mungu wangu kwa nn haya tena kwa Ibra!! R.I.P IBRA
mkuu ni kweli hizi taarifa za msiba.. binafsi sijaamini ndio maana nachelea kutoa pole
 
Ni ngumu kuamini...ibra amezimika kama mshumaa kwenye upepo mkali,Kazi ya MUNGU haina makosa.
 
Nimeona post yake ya jana tarehe 4/7 ..Facebook yaan mshikaji kama aliona kifo chake kabisa..duh kama namuona vile jamani yaan siamini kama ni kweli.. Ibrahim yaan kifua jamani ndo kimesababisha umeiaga dunia kweli...Pumzika kwa amani
 
Kisiwani ya mwananyamala?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…