Riwaya: Nitakufa Nae

Riwaya: Nitakufa Nae

Ndo maana sisomagi story Kama hii sijaanza hata. Yaani naona kichwa cha habari AF naona last text ni mtumaji anasema hataimalizia!!! Haya sisomi na nakupigia kura upigwe ban

Hahahhaa..haya bana
 
Daah..kaka naomba nisisitize kuwa there is no free lunch.. Story naziuza hizi..siwezi kuzimalizia hapa Jf..
Acha tu niendelee halafu nitatoa utaratibu wa namna ya kupata mwendelezo wake na malipo yatakuaje..
MB 8 sio tatizo langu mkuu, sidhani kama linanihusu..
Asante.
Mi huu uchafu wa JK huwa siusomi, kimbelembele chake ndo kimemtuma kuandika riwaya haf anasema haimalizi, kama haukuwa na mpango huo ni vyema ungeweka tangazo la hiyo biashara yako, isitoshe hata kutunga bado haujaweza. Wadau kwa wale wapenzi wa hizi kitu aje facebook kwenye KONA YA RIWAYA RELODED kuna riwaya nyingi sana za watunzi wenye akili kama akina bawji, tuwa, misenyi, beka mfaume na wengine wengi
 
Nashukuru, mimi kwenye hiyo kona nipo na nasoma hizo story pia na wengine nadhani watakuja pia..
Ila kuna CONTRADICTION katika maelezo yako ningependa kuweka sawa kidoogooo...
Umesema huu ni uchafu na wewe huwa husomi, umejuaje kuwa sijaweza kutunga?? Umefahamu kuwa sijaweza kutunga bila ya kuzisoma hizi riwaya?? Au umesoma halafu ndo ukajua siwezi kutunga? Na kama ulisoma unasemaje HUU UCHAFU WA JK HUWA SISOMI..
Kwa style hii itatuchukua muda mrefu sana kuendelea..mimi nilikuja na story zangu hapa na watu wakaanza kusoma pasipo kumkashifu mtu yeyote.. Wewe unataka watu wakasome story zako kwa kunikashifu mimi.. Haya wamekuelewa wanakuja..
 
Mi huu uchafu wa JK huwa siusomi, kimbelembele chake ndo kimemtuma kuandika riwaya haf anasema haimalizi, kama haukuwa na mpango huo ni vyema ungeweka tangazo la hiyo biashara yako, isitoshe hata kutunga bado haujaweza. Wadau kwa wale wapenzi wa hizi kitu aje facebook kwenye KONA YA RIWAYA RELODED kuna riwaya nyingi sana za watunzi wenye akili kama akina bawji, tuwa, misenyi, beka mfaume na wengine wengi

We vepeeeeeeeeeeee????? Uliitwa hapa? Kama haupendi pita hivi JK hakukutag uje usome story zake, 2naopenda 2nazisoma na 2nafuata maelekezo toka kwa m2nzi kutokana na mda wake na ratiba zake.
Sasa mwenzangu cjui umekurupuka toka wapi unakuja kulopoka eti uchafu, uchafu mbona umeusoma?? watu kama nyie ndo mnarudisha maendeleo ya wenzenu nyuma lione vile pyeeeee... unabahat namuheshimu mdharuba la sivyo ningekupa vyako mpaka uzimie kama cyo kufa kabisa kiazi ww.
Kiherehere chako ndo kilikuleta hapa uje usome story. Najua moyoni umeipenda ila kwa kua amesema haimalizi ndo maana povu linakutoka iloooo shame upon ur face.
Hajui kutunga ya kwako nzuri ulotunga iko wapiii?
Acha kumkatisha tamaa kijana wa watu .period
 
Sorry mdharuba kwa kuandka gazet refu ila huyu m2 kaniboa kwa kweli. Mdharuba
 
Last edited by a moderator:
Asee..asante sana, maaanaa..mi huwa siwezi kuandika maneno makali, ila nadhani alikua anatafuta umaarufu kupitia Mdharuba

Yah anatafuta kik huyu, achana nae songa mbele watu wachache kama hawa wackukatishe tamaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom