Riwaya mpya: Mbwa wa geti

Mkuu Kudo
Wasalaam
Riwaya zako ni nzuri sana,ushauri wangu ni kwamba huwa unakuwa na mwisho wenye mambo mengi sana kwa pamoja,yaani page moja yako inaweza kuwa page hata kumi kama ukiamua,una "kondensi" riwaya
Embu cheki hilo mkuu
Wasalaaam
Mweweso
 
Ahsante kwa ushauri Chief
 
Asante sana kwa kutupa burudani nzuri,mwenyezi mungu azidi kukibariki na kukikuza kipaji chako
 
Kazi nzuri sana ndugu Mungu akuzidishie maarifa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…