the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
- Thread starter
-
- #161
Hahahahahaa, mgeni mbona hana madhara. Wasiwasi wako tuu Mine eyesAfadhali ...
Dah!
Watu walishajiandaa kuingia vitani kumng'oa mgeni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh! Kaa nae mbali asijezibua mtaroMwarabu kasema vyote haramu anakula
BQ ahahahahMwarabu kasema vyote haramu anakula
Mzee baba sjafikia huko 🤓
Kuna dalili za kuuziwa kesi hapa,.wasijenitenga kama Ray tuBQ ahahahah
Ntakutag mkuu, worry notDuuuh finally tupo pamoja nimeanza kusoma saa 6 hadi 9""" mkuu shukraanii Ila kumbuka kunitag"
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Karibu mkuu Mine eyes
pamoja sana mkuuHahaa, karibu mkuu
the Legend☆
Weka story basiKaribu mkuu Mine eyes
the Legend☆
RIWAYA: SALA YA SARAH - JamiiForumsShuu...
haya tugawane hiyo zawadi ya SALA YA SARAH ...link pls...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ananiitaga dearkhaa...
mbona tena humwiti lile jina jipya ulompa mkuu...??
Au umelisahau kidogo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafahamu kwamba..nikiamua huwa sitanii...We mwanaume unaogopaje sasa
Mbona hilo dear ni baya ..Shuu ndio zuri...Ananiitaga dearthe_legend
WivuuuuuMbona hilo dear ni baya ..Shuu ndio zuri...
Na anawaita wengi humu..sijui ndo anategeza...kama ndoano??
Kizamaniii....
Mara ya mwisho kakwita lini hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
PoyeeeAnafahamu kwamba..nikiamua huwa sitanii...
Namalizia maumivu yangu .....
Sent using Jamii Forums mobile app