the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
- Thread starter
-
- #241
Sasa na BO mbona kaanza kutuangusha Sasa?
Yaani nguvu zake za asiri Kama zimepingua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Any way story ni nzuri Sana na haichoshi kabisa.BQ sahivi kila mda anakamatwa, mpaka kero. ila am sure aturudi kwenye ubora wake. Ni suala la muda tuu
the Legend☆
Pamoja sana mkuu SUPER EMILYAny way story ni nzuri Sana na haichoshi kabisa.
Kitu kingine unatutendea haki kweli kwa kutupia epsode nyingi zenye urefu wa kutosha.
Salute...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Fine art...oya majembe mi naona mambo ni yentee, mkuje kili niwa bless tujenge family naona chemistry hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haijaendelea mkuu
Hiyo ni Fine art...
Anapambwa tu atapike riwaya...
Watoto wa mjini wana njia nyingi za ...
Acha a Lege-zwe hivyo hivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu naona unajitahidi kote kote...Bado haijaendelea mkuu
the Legend☆
Na furahi sana pia ... kwa hiyo enjoyment yako.. ...nia na madhumuni ni sote kucheka na kufurahi basi.naenjoy sana nnavyoona you know nothing kuhusu mimi
the Legend☆
Ikiisha nisitue nije kusoma.Kamwene wakuu. Wale wadau wa simulizi na riwaya napenda niwakaribishe kufuatilia riwaya hii ya kusisimua inayoitwa 'Mkono wa Chuma', mtunzi wake akiwa ni ALEX KILEO. Karibuni wote...
the Legend☆
Pamoja mkuu TunasubiriWakuu hiyo episode ya 29 nliyoweka leo mtunzi aliitoa jana, that means hapa tulipofkia sasa ndo tunaenda sawa na mtunzi. Ntaendelea kushusha episodes kadri zitakavyoendelea kutolewa na mtunzi
the Legend☆
Story veeep
Sawa mkuu...asante kwa hilo..Mkono wa chuma bado haijaendelea, but sala ya Sarah ntaishusha badae kidogo
the Legend☆
Pamoja sana mkuu Mine eyes