RIWAYA: Mifupa 206

Nahitaji kitabu lakini nashangaa namba ya mtunzi iliyowekwa pia haipatikani! The banker vipi, jitokeze basi
 
Kama nilivyoahidi hapo jana kuwa mwandishi wetu wa riwaya ya mtutu wa bunduki ameniomba niwajulishe kuwa adithi yetu itaendelea kuanzia ijumaa ijayo. Hii inatokana na kutingwa na majukumu mengine katika ujenzi wa taifa. Lakini pamoja na hayo amenipa jukumu la kuwaletea riwaya yake ya MIFUPA 206. Nawaomba muwasiliane na mtunzi kwa namba
0688058669 kwa ajiri ya kupata nakala za vitabu vifuatavyo
1.Tai kwenye mzoga (hiki nacho nitakileta humu mpaka nitakavyoelekezwa tofauti na mtunzi)
2.Msitu wa madagascar
3.Mifupa 206
Nawaomba tuthamini kazi za watunzi wetu kwa kuwaunga mkono kwa kununua kazi zao ili wafaidi matunda ya vipaji vyao. Twende kazi.......
Mods naomba mnisaidia kuexpand hiyo attachment ambayo ni cover ya kitabu
Umepotea mazima yaaanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom