Aiseee hiyo simulizi kila mtu ana hatia
AminUbarikiwe sana
Pole kwa Adrian..asante sana mkuu casuits ... mwisho mzuri wa stori kwani wale wasio na hatia wamepona na wenye hatia wamekwenda kasoro Adrian
Maktaba mwenyewe nimeipenda, tuisubiri SangomwileAsante mkuu Casuist,Hatia tuliipenda lakini Maktaba za Kishetani imeipenda zaidi.Lakini John kafa kizembe sana.
Imenitoa machozi.
May the almighty God rest In Peace Ben R Mtobwa kwa kazi nzuri hata baada ya kifo chake. Tupo pamoja mwanzo mwisho. Tunomba taarifa pindi kitabu hiki kitakapotoka.
Asante MRWASafi sana Casuist, nakupongeza. keep it up.
Asante Jullie ZAsante Casuist, hadithi nzuri sana
Nafurahi kama umeipenda BPMCasuist ilikuwa poa sana hii
Vizuri kwa kupata cha kujifunza mugaruAsante sana imetufunza
Oooopppss.....!!!!!
Nini tena!
asanteeee