Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Jina la Rachel limenistua kulikuta humu kwenye riwaya
Ndio jina lako harisi mkuu!
Jina la Rachel limenistua kulikuta humu kwenye riwaya
Mh, shem vipi tena? Upewe 'kingine' tena kwani cha kwanza tayari?Casuist tupe kingine aisee
Sawa kabisa ram! ra=rachelJina la Rachel limenistua kulikuta humu kwenye riwaya
Sawa kabisa ram! ra=rachel
m=? m itakuwa initial ya jina la ubini wako! Naendelea lkuitafuta!
Mh, shem vipi tena? Upewe 'kingine' tena kwani cha kwanza tayari?
Khaaaa, mimi sijapewa aisee! Hahahahaaaaa!Hahahahaa si keshatupa kimoja shem kwani hujaona?
Khaaaa, mimi sijapewa aisee! Hahahahaaaaa!
Yap, network busy nasaka 'm' inasimama badala ya nini!Ahahahahh, unaendelea kutafuta m?
Yap, network busy nasaka 'm' inasimama badala ya nini!