[emoji1] [emoji1] [emoji1] huyo mjomba nimemvulia kofia.sio kwa active hii.Sema bandugu naona tunakesha wte
Ova
Abbasmzee egyptian nae pia hayupo, na mzee wangu said, ila watarudi humu dau atakapofikishwa kisutu ili wamuombee dhamanaAlikuwepo Rais Jakaya Mrisho Kikwete na walikuwepo mapacha wawili, [B]Ritz[/B] na [B]FaizaFoxy[/B]. Ilifikia pahala ukimchoma Rais Kikwete, ni hawa wawili walivuja damu.
Kwa sasa tunaye Rais John Pombe Magufuli na kama ilivyotegemewa wanaovuja damu Rais Magufuli akichomwa mkuki wapo tele mojawapo akiwa [B]Nyani Ngabu[/B].
Wakati [B]FaizaFoxy[/B] bado anachunguliachungulia, [B]Ritz[/B] kapotea na juhudi zangu zote za kumtafuta zimegonga mwamba na hivyo nimelazimika kutoa ombi...
Mkuu [B]Ritz[/B], uko wapi? Au nawe umepotea/umepotezwa kama mdogo wetu [B]Ben Saanane[/B]. Kwa wana JF (sio hawa viwavi vya sasa) nisaidieni kumtafuta mtani wangu [B]Ritz[/B].
Na kwa [B]FaizaFoxy[/B], naomba kama una habari yoyote na kilichomsibu [B]Ritz[/B] tafahamishe tafadhali, I miss mtani na mdogo mdogo wangu [B]Ritz[/B]...!
Inawezekana wametumbuliwa walikuwa na vyeti feki!Alikuwepo Rais Jakaya Mrisho Kikwete na walikuwepo mapacha wawili, [B]Ritz[/B] na [B]FaizaFoxy[/B]. Ilifikia pahala ukimchoma Rais Kikwete, ni hawa wawili walivuja damu.
Kwa sasa tunaye Rais John Pombe Magufuli na kama ilivyotegemewa wanaovuja damu Rais Magufuli akichomwa mkuki wapo tele mojawapo akiwa [B]Nyani Ngabu[/B].
Wakati [B]FaizaFoxy[/B] bado anachunguliachungulia, [B]Ritz[/B] kapotea na juhudi zangu zote za kumtafuta zimegonga mwamba na hivyo nimelazimika kutoa ombi...
Mkuu [B]Ritz[/B], uko wapi? Au nawe umepotea/umepotezwa kama mdogo wetu [B]Ben Saanane[/B]. Kwa wana JF (sio hawa viwavi vya sasa) nisaidieni kumtafuta mtani wangu [B]Ritz[/B].
Na kwa [B]FaizaFoxy[/B], naomba kama una habari yoyote na kilichomsibu [B]Ritz[/B] tafahamishe tafadhali, I miss mtani na mdogo mdogo wangu [B]Ritz[/B]...!
Aiseee usingizi ulikuja kukubali tisa kasoro mastaSema bandugu naona tunakesha wte
Ova
Naunga mkono hoja[emoji2]Sasa kama ulikuwa unataka kumuuliza Faiza Foxy kwa nini usingemfata PM moja kwa moja?
DuhAiseee usingizi ulikuja kukubali tisa kasoro masta
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk