maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,078
Mku mm ni mwanaccm mtifu kwa anayetenda haki.Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote. Japo naunga mkono serikali iliyopo madarakani.
Ila ni muhimu kuwa mwanachama wa Chama kwani kuna Mambo yanakupita ktk maamuzi ktk jamii na ndani ya Chama usijiweke nyuma