Teh!Na zilizopo zinapumuliaa mashine😅😅🙌
Hali ni mbayaaTeh!
Hataree,wanaungua kwa tumbo na nyuso zajilazimisha kutabasamuHali ni mbayaa
Jamii itanionajeee ndioo kilichobaki kwenye ndoaa nyingiii...mapenzi yalishakufaaaaHataree,wanaungua kwa tumbo na nyuso zajilazimisha kutabasamu
KitamboooJamii itanionajeee ndioo kilichobaki kwenye ndoaa nyingiii...mapenzi yalishakufaaaa
Napendekeza njia Mpya,tunakuwa wapenzi au wazazi ila Kila mtu kivyake tunakubaliana tuu modality ya malezi ya Watoto..Talaka lazima Zipngezeke maana mtu unaoa/ olewa lakini huheshimu kiapo na bado unaendeleza umalaya unategemea Nini hapo
Hasa wanawake,Kwa mwanaume anafuata heshima ya ku fakeNdoa nyingi hazina upendo wa kweli, walio wengi wanaingia ndoani ilimradi tu ili kupunguza ukali wa maisha siku zisonge.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
imekaa njemaNapendekeza njia Mpya,tunakuwa wapenzi au wazazi ila Kila mtu kivyake tunakubaliana tuu modality ya malezi ya Watoto..
Ishu ya kukulana inakuwa ni kuomba,ukinyimwa usichukie [emoji23][emoji23]
Namba tatu huku kwetu bado haijachanganya.Sababu kuu tatu:
1. Ongezeko la tamaa ya hela/utajiri
2. Ongezeko la kampeni za usawa wa Kijinsia
3. Ongezeko la janga la ndoa ya jinsia moja
Namba 3 ni uongo mnaoukuza tu.Sababu kuu tatu:
1. Ongezeko la tamaa ya hela/utajiri
2. Ongezeko la kampeni za usawa wa Kijinsia
3. Ongezeko la janga la ndoa ya jinsia moja
Hiyo umasikini na Hali ngumu ya maisha ndo ikae namba moja....umasikini ukiingilia mlangoni, mapenzi hutokea dirishani, havikaagi pamoja.Namba 3 ni uongo mnaoukuza tu.
Kwamba wanandoa mmoja wao au wote wanajihusisha na hizo mambo.
Hapo ongeza na janga la umaskini.