ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,872
- 90,384
Haya waoaji nadhani mnajionea wenyewe..
Mwanaume kama uko tayari kutawaliwa na Mwanamke Muoe tena Kwa ndoa ila usije kusema hukuambiwa.
====
TAKWIMU za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuanzia Julai, 2022 hadi Machi, mwaka huu, zinaonyesha kuwa talaka 410 zilisajiliwa kulinganisha na kipindi kama hicho Julai 2021 hadi Machi, 2022 zilizokuwa 303