Risk takers kwenye Mapenzi

Risk takers kwenye Mapenzi

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Aisee hii sekta ni pasua kichwa lakini naamini kuna watu huwa tunarisk sana vitu vingi kwenye mahusiano maana mwisho wa siku huwa tunaaambulia Patupu...!! Mimi nilisharisk kumuazima mdada hela ka Laki 2 hivi japo nlikua sijazoeana nae sana na tulifahamiana kwenye simu tu... Aiseee sitakuja kurudia tena maana nliambulia laki tu in Return na papuchii...
 
Unamuazimaje mwanamke hela? Hawa huwa hatuwaazimi tunawapa tu
 
Daah.. Kidogo nidisco chuo kisa ujinga.. Nilienda guest na demu, nikajua nitapiga vibao vitatu nirudi chuo fasta usiku huohuo..

Eeeeh bhana eee yule mtoto alikua mtamu nikalala kabisa, kuja kupata akili saa moja kasoro asubuhi, pepa linaanza saa mbili!
 
Haa ha ha ha... nouma sana..!! Unaweza pagawaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haa ha ha ha... nouma sana..!! Unaweza pagawaa

Acha kabisa, ule msala ulikua hatari.. Paka kuja kuingia kwenye chumba cha mtihani nilikua nimeloa mwili mzima! Na lile paper nilipata sup!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom