Risiti za EFD zitaleta tatizo huko mbeleni

Internet service provider ambao ndio Hizo machine zinatumia network yao.
 
Kanyera nafikiri unachotakiwa kama wewe ume kitu kwa sh 120,000 halafu unauza sh 150,000 faida yako inatakiwa kuwa sh 30,000, kwenye sh 150,000 ndio unatakiwa uongeza asilimia 18, unamtwanga nayo mlaji wa mwisho.
Tax return kwenye nchi nyingine ukinunua vitu siku ya kuondoka kama mgeni airport kuna dirisha uwa wanarudisha maana exporting uwa ailipishwi kodi, kwa hapa wageni wanatwangwa tu wakati saa nyingi hivyo vitu wanaenda kuviuza kwao, vat uwa inalipwa kwa mlaji wa mwisho.
 
 

Q
Mkuu unaonekana hujaelewa swala la kukosea. Mtu akikosea recording inakuwa tayar na hivyo kuleta utata kwa mtu aliye uza 10,000 badala ya 100,000. Means mwisho wa mwaka TRA wanakuja ku calculate 100,000 badala ya 10,000. Inamaanasha kwa kutumia EFD hakuna human error
 

Asante sana sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…