Tupa kule....
Huyu jamaa ni kichwa sana nilisoma nae ilboru akapata point 3
Huyu jamaa ni kichwa sana nilikaa nae rose garden anaongea point huyoooo
huyu jamaa kweli anafaa ni kichwa kweli kweli angalia CV yake
Huyu jamaa ni kichwa sana hata wazungu wanamuheshimu sana aliwakimbiza ile mbaya class masters harvard
Huyu jamaa ana akili sana aisee nakumbuka alinisaidia kupata mkopo wa mil 20 sikuwa na collateral sema nilimahakikishia biashara zangu zitalipa.
Huyu jamaa wee acha tu Mungu amsaidie
Huyu jamaa ana alipata first class udsm huyu jamaa ana akili sana kwao wana nature ya kuwa majinias uuuh
.... Baaaadae saaaana....
Huyu jamaa ana akili sana sema watendaji wake wanamuangusha
Huyu jamaa ni mchapakazi sema bana fitina za pale
Huyu jamaa ana akili sana sema tatizo dini yake
Huyu anachapa kazi tatizo wanasiasa wanamuingilia kazi zake...

Huyu jamaa alikuwaga MD wa Barclays. So anakwenda kuchukua nafasi iliyokuwa imeachwa na Bw Luoga. Labda ndio maandalizi ili Kitillya akistaafu yeye ndo achukue hiyo post.
Sina CV yake kwa kirefu zaidi, mwenye nayo atumwagie hapa tuichambue jamani!
CV yake alikuwa chuo kikuu cha Dar mwaka 1992 hadi 1995 akisomea B.com alipata masomo yote daraja A kwa miaka yote mitatu kwa masomo yote hakuwahi kupata hata B+ ni rekodi ya kutukuka. Baada ya hapo aliajiriwa na Benki Kuu, Baadaye alikwenda Akiba commecial benki kama mmoja wa wakurugenzi wake, Baclays akawa afisa mtendaji mkuu na alisoma Masters katika vyuo vya nje sina hakika kama amesoma PHD lakini ni kichwa na mzalendo kupita kiasi.
Naye ni MAHARAGE( msomali)?
kitilya kajaza wakina mangi TRA,utadhani mtu uko kibosho kumbe ni TRA,hii nchi bana
Mkuu hivi unajua kwa nini alitoka Baclays?Mzalendo wapi wewe uliza wafanyakazi wa barclays alivyowanyonya,iweje yeye anachukua bonus hadi za mil500 wakati kina William solez,Nyaki,Simon Ngowi,Sister Halima na Heri Sijaona hawaambulii kitu? Mtafute mtu wa barclays akwambie acha porojo za vijiweni,kichwa kichwa ndio nini? Kuna vichwa tumeviona mtu ana A 10 olevo na A 3 alevo na GPA 4.9 lakin wanafundisha twishney hawana kazi sema yeye ana connection na mafisadi ndio maana amebebwa wala sio ukichwa! Kichwa gani ambaye hajawai kua Tanzania One?
Nimewahi sikia ni Msomali wa Kenya!!inakuwaje anapewa dhamana ya ukusanyaji kodi wa nchi ya kigeni!?napita tu
huyu bade si aliwahi ofisa wa juu pale stanbic au?
Mkuu hivi unajua kwa nini alitoka Baclays?
Mapungufu ya katiba haya, uteuzi kila kukicha nyadhifa kibao. Hapa integrity ya anaeteuliwa ni kwa discretion ya Rais na si utendaji wa aliepewa nafasi hii.
Mkuu hivi unajua kwa nini alitoka Baclays?
Sasa anapeleka ujuzi wa kibenki TRA, hahahaha ataendelea na kale ka tabia kake ka kutafuna vimwana na hivi yupo sokoni sasa du