Rise and fall of Paul

Rise and fall of Paul

geraldincredible

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
2,035
Reaction score
7,236
Daaaaah
20200829_230632.jpg
 
Nikiwa Mkubwa Nataka Niwe Kama Daud Albert Bashite!!



Kisha niweMMliki/CEO Wa BASHITE COMPANY!
 
Huyu jamaa anapata kila analostahili.
Hii iwe funzo kwa watu wengine kwamba unapopata usijifanye kama wewe ni special kwa Mungu. Jamaa alikua anajichukulia kama firstborn wa Mungu anatuona wengine kama uchafu.

Alikua anavimba zaidi hata ya raisi mwenye madaraka yote. Na badooo naomba aendelee kula kazi na ndugu zetu TRA wamtembelee soon
 
Makonda ni hazina ya taifa,hakuna mkuu wa mkoa aliyekuwa na uthubutu kama makonda na namuomba Mungu wa mbinguni ainuke tena na hakika atainuka tena.
Uthubutu wa kutukana waliokuonesha njia, tena hadharani!?
Uthubutu wa kuonesha Majigambo, kejeli, Kiburi?
Uthubutu wa Kujiona wewe ni bora kuliko Waliokutangulia!?

Ni Mungu gani huyo wa Mbingu ipi anaefurahia kutwezwa kwa Utu wa viumbe wake sababu ya Madara uliyopewa!?
 
Mnaosubiri Makonda aanguke mtasubiri Sana.....basi haliwezi tembea bila konda....ndo mshika tunguri huyo.
 
Back
Top Bottom