ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Vyovyote alivyo !wanaomnanga wanaona ge_ge _gere tu. Yule kashatuacha parefu.Makonda ni hazina ya taifa,hakuna mkuu wa mkoa aliyekuwa na uthubutu kama makonda na namuomba Mungu wa mbinguni ainuke tena na hakika atainuka tena.