Risasi zilizolenga daladala la Mabibo-Makumbusho zingeenda kutua hapa, nani aliagiza haya?

Awamu ya tano ni awamu ya mateso kwa watanzania.....awamu ya wezi,wauaji,vibaka,wanafiki,na mamluki wa kila aina.
Awamu hii ni awamu chafu na yenye roho za mashetani waliokosa madaraka awamu nyingine zote....ni awamu ya damu!!
 
Niwahakikishie baada ya shughuli za kupumzisha mwili wa mpendwa wetu Akwilina wote waliosababisha mauti yake hakuna atakayebaki salama, kwa habari za ndani wazee wa kichagga kule rombo wameazimia kufanya tambiko la kulaani tukio la kijana wao kuuwawa kinyama.
Hakika hii shughuli ikifanyika kwa sie wahenga tunaojua nguvu ya hizi imani za kale msishangae kuona watu wakipukutika kama majani...
Cc mshana jr
Hivi ile Albadiri ya watu wa Muheza ilifanywa?!
 
Mtulia hukuwa na sababu yoyote ya kuleta hii zahma hakika utalipia
6683a2a7e6bbc16e8f4d471495cd7f2e.jpg
Ndiye aliepiga risasi
 
CCM Mungu anawaona! Hata kwetu Gamboshi wachawi hatufanyi hivi,muue nyie alafu mwende kwenye msiba wa kwanza huu uvhawi naona ni wakizungu zaidi,muue alafu mjichunguze
ndugu yangu justus ndyanabo, kama uliwahi kukulia mazingira ya vijijini, utakuta yule mchawi aliyemuua ndugu yako ndio analia kuliko nyie wafiwa, tena unaweza kuta anajigalagaza mwenyewe kaburini mpaka wafiwa wanabaki midomo wazi, wanajitia wao ndio wana uchungu
 
Tutalalamika sana juu ya udhalimu wa watawala lakini bila sisi wananchi wenyewe kuchukua hatua,tutaendelea kuwa mabwege wao mpaka yesu arudi.
 
Kabla ya watu kupigwa kuvunjwa miguu na wengine kuuwawa chanzo ni nini???
Kwanini mnaruka hapo???
Ukiwa kama m/kiti utajichukuliaje maamuzi yako na kuitisha maandamano yasio na kibali??
Wakuu tuachane na ushabiki wa kisiasa
Mimi sina chama na kura sijwahi piga maisha yangu
Lkn ukweli lazma tuukubali
Unaitisha maandamano haramu ili iweje??
Alijua atazidiwa ktk uchaguzi au
Alikua na machungu saana ama
Hapo mimi sipati jibu kabisa
Unaandamana ili iweje?
Sawa vijana wako walinyimwa fomu kwanini usifate mlolongo wa sheria au hata angetishia kujitoa ktk uchaguzi
Hapo dunia nzima ingenspoti kwa sabb ana sababu za kimsingi kabisa tena angewaweza saana Ccm
Je watu wangevunjwa mikono na miguu yao kama yasingekuwepo maandamano?
Watu wangeuwawa kama wasingeandamana???
Aseee inauma saana mtoto INNOCENT kabisa kuuwawa
Chanzo maandamano
Nimemchukia saana huyu mbowe
 
Mtulia hukuwa na sababu yoyote ya kuleta hii zahma hakika utalipia
6683a2a7e6bbc16e8f4d471495cd7f2e.jpg

Nani hawa? Ndugu wa karibu wa marehemu? Kama ni hivyo basi inaonekana maisha yao ni kama ya watanzania wengi , ya chini. Sipati Picha ndoto ya mama wa marehemu na marehemu mwenyewe juu ya maisha baada ya chuo. maskini, kama ndo lilikuwa tegemeo Mungu amemchukua. Poleni sana wafiwa. Mungu ailaze pema roho ya marehemu
 
Risasi za moto za nini? Kulikuwa na uvunjifu wa amani? Au dalili za kuvunja Amani? Ni vipi kama wangeamrishwa kuvunja maandamano na kutakiwa kuelekea kituo cha Polisi?
 
Kabla ya watu kupigwa kuvunjwa miguu na wengine kuuwawa chanzo ni nini???
Kwanini mnaruka hapo???
Ukiwa kama m/kiti utajichukuliaje maamuzi yako na kuitisha maandamano yasio na kibali??
Wakuu tuachane na ushabiki wa kisiasa
Mimi sina chama na kura sijwahi piga maisha yangu
Lkn ukweli lazma tuukubali
Unaitisha maandamano haramu ili iweje??
Alijua atazidiwa ktk uchaguzi au
Alikua na machungu saana ama
Hapo mimi sipati jibu kabisa
Unaandamana ili iweje?
Sawa vijana wako walinyimwa fomu kwanini usifate mlolongo wa sheria au hata angetishia kujitoa ktk uchaguzi
Hapo dunia nzima ingenspoti kwa sabb ana sababu za kimsingi kabisa tena angewaweza saana Ccm
Je watu wangevunjwa mikono na miguu yao kama yasingekuwepo maandamano?
Watu wangeuwawa kama wasingeandamana???
Aseee inauma saana mtoto INNOCENT kabisa kuuwawa
Chanzo maandamano
Nimemchukia saana huyu mbowe
mkuu wewe sio mwanasiasa lakini maongezi yako ni siasa tupu, nikuulize tu kwanini mawakala wa ccm walipata mapema tu na chadema ati siku 3 kabla ya uchaguzi, wakasema sawa, siku 3 wanatafutwa hawapatikani, wanaandikiwa barua hawajajibu, wanapigiwa simu hawapokei, wamefatwa ofisini wamegoma kutoka, siku ya tukio walikuwa wanaenda kuchukua form zao, kama una kumbukumbu hata zile chaguzi za madiwani, waliambiwa hivyo hivyo, siku inafika ofisini hawapo na simu zimezimwa mpaka hapo watu walipomaliza kupiga kura, unafikiria wangeomba vipi na siku ile ilikuwa tayari ni wikiend mahakamani hakuna mtu wa kuweza kuwasaidia, na vibali vimetoka waliposikia kuwa kuna mtu keshanyofolewa ubongo, saa 4 za usiku ndio vibali vinatoka, halafu unasema unamchukia Mbowe, anza kumchukia huyo mkurugenzi ndio chanzo cha yote haya na huyu ndio anatakiwa awe ndani, IGP ndani na Mambosasa wote ndani, angetoa mapema kama alivyowapa ccm, haya yote yasingetokea, na mbaya zaidi sijawahi sikia maandamano yakiongozwa na risasi za moto na hasa kutumiwa na polisi, ina maana walifanya makusudi na shabaha yao wamlenge mtu flani, na yote imeshindikana na kwenda kuua mtu asiye katika hayo mambo kabiiisa, aisee, haya tutafika, wengine wapo hospital wamevunjwa miguu na viuno, wananchi wanatizama tu, sasa watakapokuwa wanaandamana nao watakuwa wanajipanga vipi, anzeni kumkamata huyo mkurugenzi ndio chanzo cha ushetani wote mengine yatafata kama ni waziri nae mkamateni,
 
Inasikitisha sana kibaya zaidi ni majibu Ya Lazaro mambosasa yani ndio Unagundua Namna Upeo wa Polisi wetu ulivo, Rais alimulike jeshi hili na kuondoa Watu wasio na weledi
 
MIMI NIMESHANGAA, ASKARI ANABEBA SILAHA YA MOTO KWENYE MAANDAMANO YA AMAN ANAENDA KUWINDA? MIMI NAAMINI TARGET ILIKUWA VIONGOZ WAKUU WA UPINZANI. KIMSING WATU WASIOJULIKANA WAMEJULIKANA KUWA NI POLICHI
 
Tutalalamika sana juu ya udhalimu wa watawala lakini bila sisi wananchi wenyewe kuchukua hatua,tutaendelea kuwa mabwege wao mpaka yesu arudi.
Wigo ni mkubwa sana mkuu...maadui zetu ni wengi sana tena wana familia zao...wangewanyofoa wawili watatu..wangekuja kwenye meza ya mazungumzo..lkn kama tukizidi kuonyesha ulokole..ni mpaka yesu atakaporudi kweli!
 
Kabla ya watu kupigwa kuvunjwa miguu na wengine kuuwawa chanzo ni nini???
Kwanini mnaruka hapo???
Ukiwa kama m/kiti utajichukuliaje maamuzi yako na kuitisha maandamano yasio na kibali??
Wakuu tuachane na ushabiki wa kisiasa
Mimi sina chama na kura sijwahi piga maisha yangu
Lkn ukweli lazma tuukubali
Unaitisha maandamano haramu ili iweje??
Alijua atazidiwa ktk uchaguzi au
Alikua na machungu saana ama
Hapo mimi sipati jibu kabisa
Unaandamana ili iweje?
Sawa vijana wako walinyimwa fomu kwanini usifate mlolongo wa sheria au hata angetishia kujitoa ktk uchaguzi
Hapo dunia nzima ingenspoti kwa sabb ana sababu za kimsingi kabisa tena angewaweza saana Ccm
Je watu wangevunjwa mikono na miguu yao kama yasingekuwepo maandamano?
Watu wangeuwawa kama wasingeandamana???
Aseee inauma saana mtoto INNOCENT kabisa kuuwawa
Chanzo maandamano
Nimemchukia saana huyu mbowe
Hivi watu kama nyinyi mlizaliwa kuja kufanya nini duniani?...unataka kuniambia kuwa haki yako kikatiba huijui?..hujui kuwa kuandamana kwa amani ni haki yako kikatiba?..kenge kabisa ..unaogopa manyunyu?ingia mtoni..Tuache sisi tuhangaike kuwachomoa hawa madictator uchwara ili watt wako waje wafaidi huko mbeleni!
 
je ungekua wewe ndo umenusurika ungesemaje?
Walio nusurika ni wale walio kuwa kwenye uelekeo wa Risasi kama yule Konda wa Dalala. Sasa kuna watu wengine hawakuwa hata kwenye lile saga lakini wanatunga na kubuni stori ilimradi tu wafurahishe nafsi zao.
 
Kabla ya watu kupigwa kuvunjwa miguu na wengine kuuwawa chanzo ni nini???
Kwanini mnaruka hapo???
Ukiwa kama m/kiti utajichukuliaje maamuzi yako na kuitisha maandamano yasio na kibali??
Wakuu tuachane na ushabiki wa kisiasa
Mimi sina chama na kura sijwahi piga maisha yangu
Lkn ukweli lazma tuukubali
Unaitisha maandamano haramu ili iweje??
Alijua atazidiwa ktk uchaguzi au
Alikua na machungu saana ama
Hapo mimi sipati jibu kabisa
Unaandamana ili iweje?
Sawa vijana wako walinyimwa fomu kwanini usifate mlolongo wa sheria au hata angetishia kujitoa ktk uchaguzi
Hapo dunia nzima ingenspoti kwa sabb ana sababu za kimsingi kabisa tena angewaweza saana Ccm
Je watu wangevunjwa mikono na miguu yao kama yasingekuwepo maandamano?
Watu wangeuwawa kama wasingeandamana???
Aseee inauma saana mtoto INNOCENT kabisa kuuwawa
Chanzo maandamano
Nimemchukia saana huyu mbowe
kwanini fomu hazikutolewa mapema? ulitegemea ijumaa SAA 12:00 jioni Na uchaguzi ni asubuhi yako wazifuate kwa mamako? uliangalia kipindi rails anajiapisha? ulisikia kuna MTU alikufa? kama risasi za moto zilitumika kupiga Juu kutawanya watu he marehemu Aquilina alipigwa akiwa angani? suspect kwa kwanza ni tume, pili Msimamizi uchaguzi Na tatu ni Polisi. Sikh revange ikianza kwa wanaoshangilia upuuzi Juu utakuwa wa kwanza kukimbia nchi
 
Mtulia hukuwa na sababu yoyote ya kuleta hii zahma hakika utalipia
6683a2a7e6bbc16e8f4d471495cd7f2e.jpg
Mchawi anaroga na kumuua mwanao halafu anakuja kuomboleza na wewe na kujifanya ana majonzi! Familia inaahidiwa kugharimiwa mazishi. Yaani gharama za mazishi ndio imekuwa mbadala wa uhai?! ITASAIDIA NINI?
 
Kamanda bwana! Kumbe ulijificha alafu unapiga mkwara kwamba askari angesogea?
 
Mlifuata kanuni na taratibu za maandamano hapa nchini mkuu? Pole sana kwa kukoswa "target"!

Mkuu kuandamana akuutaji kibali unaenda police unawambia naitaji ulinzi naandamana kwa kutumia Barabara flani usigeuze watanzania wote wajinga
 
Back
Top Bottom