Ripoti ya siri ya kushindwa kwa CCM Arumeru yavuja

Hizo ni dondoo tu mkuu tuwekee ripoti kamili au badilisha jina la uzi iwe dondoo za kushindwa CCM Arumeru zavuja
 
Ni kweli kabisa wanaJF, mi ni mkazi wa arumeru kwa hiyo hizo sababu ni za kweli kabisa. Na pia mgombea wa CCM hakuwa mkazi wa arumeru. Kuna sababu zingine pia nyingi.

kwa ufupi wangesema'chama kimekosa mwelekeo'
 
Iliyoniacha hai ni pale jamaa walipokuwa wanamlazimisha kupunga mkono... Duh kumbe nayo hiyo inaongeza kura na credibility...?
Kuanzia now ntakuwa nawapungia watu njiani.
 
Usiri wa hii ripoti mbona siuoni hivi bado magamba wanaendelea kufikiria kwa tumbo namna hii asalale au ni yule jamaa wa utawala bora sijui kitu gani wa kule bunda kawashauri waandike ni siri? ndo maana miaka hamsini imepita tupo hapa tulipo
 
Magamba wanatia huruma kweli, mbunge kaisha patikana, kaapishwa na tayari kashapangiwa majukumu wao bado tu wanatafakari kwanini walishindwa! Hawana mengine ya kufanya? Watatafuta mchawi mpaka lini?
 
Back
Top Bottom