Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

Ripoti ya kimaandazi,kuiba waibe wenyewe halafu waje n comedy za kijinga ......chama cha majambazi hakuna msafi hata watoto wao wanazaliwa na dhambi ya ufisadi yani babu,bibi,baba,mama,watoto,wajukuu wote wezi
 
Hakuna asiyeiombea mema nchi yetu tuombe tushinde wote vita ni kushinda ingawa njia yamapigano ni tofauti .

Kwa hiyo hakuna atakaye achwa uchi pindi tukishinda na hata tukishindwa tubaki wote wamoja.
Mi nilipenda watu wa mgodini watwambie je makanika hayo ukusanywa randomly au selectively.
 
Amani ya bwana iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili kina iparamasa na genge lako

Ni ukweli usioacha shaka kuwa sasa ile kampun ya kinyonyaji ya acacia wameanza kutapa tapa yaan hawajielewi, kila siku wanakuja na matamko mapya hiyo yote ni baada ya mbinu yao ya kumuhonga rais kukwama, na kukimbilia kwenda kumuhonga yule mtetea mafisad maarufu africa mashariki na kati Tundu Lissu

Kamat ya pili iliyoundwa kuja na suluhisho kamili ambayo itakabidh riport yake hapo week ijayo kwa ngosha inaenda kumuacha uchi bila taulo mnafiki Lissu na genge lake la kutetea mafisadi ambalo lilihongwa na wakwepa kodi wa ACACIA.

Unafiki wa Lissu kujulikana hapo wiki ijayo

Nawasilisha karibuni
Sasa unawasilisha nini?? report kwani wewe ndo Mwenyekiti wa kamati....Du nilukuwa sijaangalia profile pic yako...Nafahamu elimu ya jamaa uliyeweka picha yake..inawezekana na wewe elimu yako inafanana na ya kwake tofoati kati yake na wewe ni kwamba yeye (Marehemu) alikuwa na elaaa...wewe ni kada tu. huna kitu...
 
Lisu anahangaika kutuma meseji apate taarifa za ripoti ila atie khofu Taifa
 
Nina mashaka ikiwa unafahamu kazi ya hiyo kamati ya pili!!!

Kamati ya Mruma ilikuwa ndio kila kitu! Kamati ya pili kazi yake itakuwa ni kui-monetize tu ripoti ya Mruma!
 
Nadhani watu hawajamuelewa Lissu. siyo kwamba anawatetea acacia. Lissu amesimama kwenye mikataba zaidi. Kuzuia mchanga bila kudeal na mikataba haitatusaidia sana na mfano mzuri ni sakata la IPTL na yule mhindi sethi. Tena siku hizi hasikiki kabisa baada ya kuchota ile mihela na TANESCO wameachwa solemba. Ile benki iliyowakopesha IPTL hela za kuinvest hapa kwetu inaidai TANESCO walipe hilo deni wakati TANESCO hela walishazipeleka benki kuu kwenye ESCROW account (zisitumike hadi hapo utata wa capacity charges utakapopata ufumbuzi), na wajanja wakazichota. Lissu kasimamia mikataba zaidi. Tatizo la Lissu ni jinsi anavyowasilisha hiyo mada yake kwa hasira etc na inaonekana kama yuko upande wa acacia. Kwanza suala hili la wizi wa madini halijaanza leo. Wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu ubovu wa mikataba inayosababisha tuibiwe. Wabunge wa upande mwingine waliwabeza na kukejeli sana. Leo wanajifanya kushituka kuwa tunaibiwa na wanawakebehi waliolianzisha suala hili miaka mingi sana juu ya ubovu wa mikataba inayosababisha tuibiwe. Leo walioandaa hiyo mikataba tunawaona wazuri na walioipigia kelele tunawaona wezi (na wanendelea kuipigia kelele) .
Binadamu wanafiki wapo CCM
 
Amani ya bwana iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili kina iparamasa na genge lako

Ni ukweli usioacha shaka kuwa sasa ile kampun ya kinyonyaji ya acacia wameanza kutapa tapa yaan hawajielewi, kila siku wanakuja na matamko mapya hiyo yote ni baada ya mbinu yao ya kumuhonga rais kukwama, na kukimbilia kwenda kumuhonga yule mtetea mafisad maarufu africa mashariki na kati Tundu Lissu

Kamat ya pili iliyoundwa kuja na suluhisho kamili ambayo itakabidh riport yake hapo week ijayo kwa ngosha inaenda kumuacha uchi bila taulo mnafiki Lissu na genge lake la kutetea mafisadi ambalo lilihongwa na wakwepa kodi wa ACACIA.

Unafiki wa Lissu kujulikana hapo wiki ijayo

Nawasilisha karibuni
Mmeshamaliza kuipika?
 
Kamat ya pili iliyoundwa kuja na suluhisho kamili ambayo itakabidh riport yake hapo week ijayo kwa ngosha inaenda kumuacha uchi bila taulo mnafiki Lissu na genge lake la kutetea mafisadi ambalo

lilihongwa na wakwepa kodi wa ACACIA.

Unafiki wa Lissu kujulikana hapo wiki ijayo

Nawasilisha karibuni

Mkuu hii siyo kujitekenya na kisha kujichekesha kwa waasisi na ma signatories wa hii mikataba tokea katika mamlaka zetu? Au wewe waona je mkuu?

Mikataba iasisiwe na kuwekwa saini na nyie uozo ukibainika wavuliwa nguo au waadhirika wengine. Haya basi si ndiyo majanga yenyewe au wewe waona je Mkuu?

Ama kweli safari bado tunayo, kwani Mkuu mko wengi mno ambao mungali hamuujui mkono wenu wa kulia au wa kushoto ni upi.
 
Sasa upi ni ushahidi kwamba alihongwa au unajua sisi wote hapa ni wajinga! Mawazo tofauti siyo kuhongwa ndiyo afya ya fikra; umejuaje hiyo report wakati haijasomwa; umetafakari Muda gani? Na Kwanini wanaoeleza tofauti mnaona wamehongwa?kwani hiyo ripoti ni kwa ajili ya Tindu Lissu!
 
Amani ya bwana iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili kina iparamasa na genge lako

Ni ukweli usioacha shaka kuwa sasa ile kampun ya kinyonyaji ya acacia wameanza kutapa tapa yaan hawajielewi, kila siku wanakuja na matamko mapya hiyo yote ni baada ya mbinu yao ya kumuhonga rais kukwama, na kukimbilia kwenda kumuhonga yule mtetea mafisad maarufu africa mashariki na kati Tundu Lissu

Kamat ya pili iliyoundwa kuja na suluhisho kamili ambayo itakabidh riport yake hapo week ijayo kwa ngosha inaenda kumuacha uchi bila taulo mnafiki Lissu na genge lake la kutetea mafisadi ambalo lilihongwa na wakwepa kodi wa ACACIA.

Unafiki wa Lissu kujulikana hapo wiki ijayo

Nawasilisha karibuni
Lisu hajatetea mtu wala Acacia bali kafafanua jinsi CCM walivyobariki kuibibwa Taifa kwa kupitisha sheria mbaya na mikataba mibovu, kwa Akili zalo Lizaboni usitegemee Lisu kupata chochote kwani yy hajamtetea mtu zaidi ya kusimama kwenye mikataba iliyopitishwa na CCM.
 
Amani ya bwana iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili kina iparamasa na genge lako

Ni ukweli usioacha shaka kuwa sasa ile kampun ya kinyonyaji ya acacia wameanza kutapa tapa yaan hawajielewi, kila siku wanakuja na matamko mapya hiyo yote ni baada ya mbinu yao ya kumuhonga rais kukwama, na kukimbilia kwenda kumuhonga yule mtetea mafisad maarufu africa mashariki na kati Tundu Lissu

Kamat ya pili iliyoundwa kuja na suluhisho kamili ambayo itakabidh riport yake hapo week ijayo kwa ngosha inaenda kumuacha uchi bila taulo mnafiki Lissu na genge lake la kutetea mafisadi ambalo lilihongwa na wakwepa kodi wa ACACIA.

Unafiki wa Lissu kujulikana hapo wiki ijayo

Nawasilisha karibuni
Mbona unaandika ukiwa na hasira? Matusi ya nini? Kwanza sijaona mahali ambapo Lisu amewatetea acacia. Lisu alikuwa akielezea taratibu za kisheria kuhusiana na mikataba.
 
Back
Top Bottom