Taarifa ya CAG kuhusu NSSF imetoka.
Taarifa hiyo ya Ukaguzi uliofanywa na kampuni ya Ernest and Young pia imeorodhesha Wajumbe wote wa Bodi akiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
CAG ametoa hati safi isiyo na suala lolote la msisitizo kwa NSSF. Mwenyekiti wa bodi ya NSSF wa sasa, Prof. Sam Wangwe na Mkurugenzi Mkuu wa sasa, Prof. Kahyarara wameweka saini kwenye Taarifa hiyo iliyowasilishwa mbele ya PAC.