Ripoti imesomwa kwa kubainisha kuwa hapakuwa na mauaji wala tuhuma zozote za uchawi bali ni ubinafsi wa watumishi wa chumba cha kuhifadhia maiti pale wanapochukua pesa kwa wafiwa kwa lengo la kwenda kuwazika, lakini sasa wao kurahisisha kazi wanachimba shimo moja na kuwafukia.
vichanga hao hufariki wakati wa kujifungua au kabla au baada tu ya kujifungua.
Swali nalojiuliza ni kwamba hao watoto walikufa katika kipindi cha wiki moja wengi hivyo, ukienda hospitali nyingine za Dar utapata wangapi? Mi nadhani tatizo la vifo vya watoto wachanga pengine ni kubwa kuliko takwimu zinavyotuambia
Umeipata sawasawa mkuu. Issue kubwa ni kwa nini kuna vifo vingi vya watoto - karne ya 21.
Umeipata sawasawa mkuu. Issue kubwa ni kwa nini kuna vifo vingi vya watoto - karne ya 21.
Infant mortality rate ni kati ya vigezo vya maendeleo. Nchi ambayo wananchi wana lishe mbovu, idadi ya madaktari ndogo, vituo vya afya havitoshelezi kwa idadi au ubora na umasikini kwa ujumla, what do you expect? Lazima mortality rate iwe kubwa. Kuna mimba zinatoka kwa bahati mbaya kwenye nchi masikini lakini mimba hizo zisingetoka kwenye nchi tajiri. Sasa hata hospitali kubwa kama ya mwananyamala inaonekana haina sehemu au namna nzuri ya dispose vitoto vilivyokufa....
Tupiganie tupate utawala mzuri utakoondoa umasikini na kuleta utendaji mzuri kazini...
Kuna jambo linanitatiza kidogo. Tunaambiwa materna mortality ratio umeshuka kutoka 578 hadi 400. Lakini Hali ya huduma imezidi kudorora. Hebu nisaidieni jamani huko kushuka kwa maternal mortality kumesababishwa na nini
Ripoti imesomwa kwa kubainisha kuwa hapakuwa na mauaji wala tuhuma zozote za uchawi bali ni ubinafsi wa watumishi wa chumba cha kuhifadhia maiti pale wanapochukua pesa kwa wafiwa kwa lengo la kwenda kuwazika, lakini sasa wao kurahisisha kazi wanachimba shimo moja na kuwafukia.
vichanga hao hufariki wakati wa kujifungua au kabla au baada tu ya kujifungua.
Hili ni tatizo la kuweka watumishi wasiokuwa na ethics.
Kwa sasa kumekuwa na wimbi la watu mbalimbali kukimbilia sekta ambazo si chaguo lao ili wajikimu kimaisha.
Swali nalojiuliza ni kwamba hao watoto walikufa katika kipindi cha wiki moja wengi hivyo, ukienda hospitali nyingine za Dar utapata wangapi? Mi nadhani tatizo la vifo vya watoto wachanga pengine ni kubwa kuliko takwimu zinavyotuambia
.....Kuna mzazi mmoja alisika redioni akidai ya kwamba aliomba kwenda kumzika mtoto wake lakini alikatazwa!..... Baadhi ya wanawake walidai ya kwamba huwa wanashawishiwa na wahudumu wa hospitality kuacha maiti za watoto wao waliofariki....
Sasa hapo mi siuelewi ubinafsi wahudumu wa hospitali uko wapi!? Faida gani walokua wanaipata.... Lazima kuna linaloendelea nyuma ya pazia!....
mikakati thabiti ya serikali na wadau!
Maisha magumu yanaweza kuchangia mimba kuharibika,pili huduma mbovu mahospitalini unakuta wanajua kabisa mama anatatizo la high blood presure na hawampi huduma sahihi na uangalizi ili mtoto awe salama,tatu uzembe wa madaktari na manurse,matatizo mengine yanazuka muda wa kujifungua ukimtafuta dokta yupo kwenye kazi zake binafsi eg ameajiriwa muhimbili bt ana dispensary mwenge,yote haya ni matokeo ya serikali mbovu wa2 wanakosa hata ubinadamu kama hao wa chumba cha maiti kisa hela coz anaihtaji akamlipie mtoto wake shule,tunahitaji mabadiliko,
Uchakachuaji wa namba tu!Vipi watawacomvince wafadhili waendelee kutusaidia tupunguze vifo vya wamama na watoto bila maendeleo ya kuridhisha!Kuna jambo linanitatiza kidogo. Tunaambiwa materna mortality ratio umeshuka kutoka 578 hadi 400. Lakini Hali ya huduma imezidi kudorora. Hebu nisaidieni jamani huko kushuka kwa maternal mortality kumesababishwa na nini
nasikia wanauza kwa waganga wa kienyeji.Kwa kweli hiyo hadith ya manesi kuomba vichanga vilivyokufa limezagaa sana DSM sijui mikoa mingine. Natamani kujua wanazifanyia nini