MUHUSIKA MKUU WA HAYO MAUWAJI NI M4C, CCM haihusiki! soma vizuri report.
Nilijua kuwa wao ndio wamemuondoa Duniani ila kutokana na ubababishaji wa waliokuwa wakitoa habari walichanganya ila sasa hii tume angalau imejaribu kwenda ndani zaidi na kutoa picha inayoeleweka. Hivyo ndio maana nikasema wao polisi ndio waliomuua japo mi si mahakama ila kutokana na uchunguzi wa hii tume sihitaji tena mahakama inipe majibuPoti sijakuelewa bado, ina maana uko hapa kusubiri tume ndio zikwambie ni nani alimuuwa Mwangosi? ina maana tangu siku ya kwanza hujui Mwangosi ameuliwa na nani? umenisikitisha sana halafu wewe una access na Internet vipi wale ndugu zako kijijini?
Mkuu wamefanya vema kuweka katika lugha zote mbili ili iwasaidie watu wa mataifa mbalimbali ambao Kiswahili hakipandi kusoma na kuelewa unyama uliotokea, kumbe ni kazi nzuri ya kuiweka katika lugha zote mbili. Kumbuka Balozi mbalimbali zinapenda kujua hili jambo.Tanzania bwana! sasa kwanini report ni ya kiingereza?