Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Mimi hapa ndiye ninayetoa maneno ya Serikali hapa ndani, kama mbunge anasema ni blah blah basi anapingana na Serikali..."
Kwa kasi yenu ya kufyatua viuzi inatupa mashaka sana kila sekunde kiuzi kinazaliwa humu jf kuhusu escrow na ripoti. Mmejipanga vizuri kuupotosha umma lakini ukweli utasimama milele fedha za escrow toka escrow inaanzishwa mpaka kufungwa kwake hazijawahi kuwa fedha za umma.

kwanin mtu kama huyu alizaliwa tanzania?Kweli mtanzania unaweza kutoa kauli kama hiyo?una uhakika gani kama hyo charges zilikuwa halali?huoni kuwa suala hili kupigwa danadana kuna walakini ndani yake?kwa tuliyoyashuhudia ni ki2 gani kinashindikana nchi hii?ni kweli suala hilo halina uharaka?The government z trying 2 cover its own ass!
Inasikitisha wazalendo wanapopigania nchi and we r standing stl!
Ni kweli sio za umma, na nyie ambao mmekua mkitetea huu ujambazi hapa ni sehemu ya huo ujambazi kwahiyo wala hatuwashangai. Stupid MOFO!
Hivi Lukuvi hajui kuwa kazi ya Mbunge ni kupingana na serikali pale anapoona kuna haja ya kufanya hivyo?
Wanaotuwakilisha bungeni ndio waje juu mimi na wewe na yule ambao tuko nje ya bunge we can not do anyting. Ila moto inabidi uwake bungeni mpaka kieleweke,Hapo tumeshaliwa tena kama kawaida yamafisadi,huku Kafulila akipambana kwa kujitoa mhanga kwa taifa hili wananchi nao tupo kama hayatuhusu!