Ripoti ya Chande nahisi haitatoka!

Ripoti ya Chande nahisi haitatoka!

Sasa itakuwaje?. Tunasubir isomwe wazi Ili tuelekee kwenye mchakato wa kitabu cha kutuongoza kama nchi. Bila kusomwa tunatokaje tulipo? Wasione aibu ukitaka kupata mtoto lazima mvuliane nguo bana.
 
Ripoti ilikuwa tayari tangu tume mchongo ilipotangazwa.. haya mengine ni masinemare tu
 
Jizi na liuaji likijichunguza lenyewe unategemea. nini? Pamoja na kuwa tume ya mchongo lakini "cosmetics" zote zilizolazimishwa na Bi. Kigagula katika ripoti zimedoda.
 
Hata hivyo Ripoti zote za Chande ni kituko kitupu

Fuatilia Ile ya Haki jinai
 
Ripoti inatoka Gwajima na Kitima wanaweza kutajwa kwenye ripoti
Tundu Lissu na CHADEMA watakosekana kwenye ripoti kama hiyo?

Lakini ukweli ni kwamba, hata kama ripoti ingetamka wazi kuhusu kilichochochea hayo ya Oktoba, na akatajwa Samia kwa ukaidi wake na uchu wa madaraka; hilo lisingebadili chochote wakati huu.

Samia na Genge lake wataendelea kama hakuna kilichotokea, na kuhimiza maridhiano wanayoyataka wao na siyo wanayoyataka waTanzania.

Hiyo ripoti haina faida yoyote kwa waTanzania, sanasana itakuwa ya manufaa kwa walioiunda tume ili iwasafishe.
 
Back
Top Bottom