Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Napenda kumpongeza CAG na wasaidizi wake Kwa Kazi kubwa Na nzuri waliyoifanya.Nachukua nafasi hii kumwomba sana Rais wetu John Magufuli aitumie Ripoti hiyo bila kuwaonea Huruma wale wote waliotajwa kulitia hasara Taifa letu Kwa kuwachukulia Hatua Kali ili iwe fundisho Kwa Viongozi wengine.
Mh.Rais Kwa mfano;
Mtu anaingiza Magari 238 anapewa msamaha wa kodi wa sh.1.3 bilioni
Nakuomba wafuatiliwe wahusika wote walipe kodi na waliotoa msamaha washtakiwe.
Mh.Rais Kwa mfano;
Mtu anaingiza Magari 238 anapewa msamaha wa kodi wa sh.1.3 bilioni
Nakuomba wafuatiliwe wahusika wote walipe kodi na waliotoa msamaha washtakiwe.