Ripoti vikwazo biashara BEST-AC zagawiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti vikwazo biashara BEST-AC zagawiwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kamachumu Town, Jul 18, 2012.

 1. K

  Kamachumu Town Guest

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BEST AC
  Mfanyakazi wa Kampuni ya Nafasi Art Space, Naphca Kuboja, akigawa ripoti ya utafiti wa vikwazo vya biashara hapa nchini kwa wachora katuni, wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kuandaliwa na taasisi ya BEST-AC. Picha na Joseph Zablon
   
Loading...