Ulimwenguni kuna bilions of matukio at a sekunde. Hebu ripoti tukio unalolishuhudia sasa mahali ulipo, liwe dogo au kubwa, iwe nyumbani, barabarani, ofisini, nk. Mi hapa namwona boss wa ofisi fulani amesimama nyuma ya kiti cha ps wake akimshika bega.
he!anamshika bega?,emu niambie respond ya ps iko vp?
Umbea huo.
mi hapa nilipo mvua inanyesha kwa mbali nasikiliza mpira. goli limefungwa lakini sijui timu gani imefunga. subirini hapo hapo ntawaletea update. usibonyeze kidude.
Mvua imenyesha kuubwa hapa nilipo ndani ya dakika kumi halafu ikakatika, lol. Mvua za Dar hazina majira jamani,
nipo njian kuelekea msiban,kuna abiria kateremka njian kumbe kabeba na ki-parcel cha abiria mwenzie.bahat nzur yule mwenye ki-parcel kamwona ikabidi amfate. sa cjui alichukua makusud ama alikifananisha na cha kwake. me na wewe hatujui!
URA 1 - 2 APR hiki ni kipindi cha pili. robert sentongo ndo kaifungia URA
URA 1 - 2 APR hiki ni kipindi cha pili. robert sentongo ndo kaifungia URA
emu angalia vilago vyako vizur visije chukuliwa,ukaanza kudata mara mbili,maana matatzo huwa yanakuja na mambo mengi...