Ripoti tukio unalolishuhudia sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti tukio unalolishuhudia sasa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wajad, Jul 23, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,129
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Ulimwenguni kuna bilions of matukio at a sekunde. Hebu ripoti tukio unalolishuhudia sasa mahali ulipo, liwe dogo au kubwa, iwe nyumbani, barabarani, ofisini, nk. Mi hapa namwona boss wa ofisi fulani amesimama nyuma ya kiti cha ps wake akimshika bega.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nipo hapa maeneo napata lunch,pemben yangu kaingia dada kaagiza,wakati anasubir kuhudumiwa namuona anachukua cm,yupo bize kweli,nimechungulia nimeona logo ya jf,bila shaka yupo ndani ya chitchat,....sijui nani huyu
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  he!anamshika bega?,emu niambie respond ya ps iko vp?
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Umbea huo.
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha,ha,ha,....emu niambie ulipokuwa umeshikwa bega na hicho kizee ulikua unajiskia vip?....hujalowa kweli?
   
 6. Collins

  Collins Senior Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi hapa naona watu wanapiga
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mi hapa nilipo mvua inanyesha kwa mbali nasikiliza mpira. goli limefungwa lakini sijui timu gani imefunga. subirini hapo hapo ntawaletea update. usibonyeze kidude.
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mvua imenyesha kuubwa hapa nilipo ndani ya dakika kumi halafu ikakatika, lol. Mvua za Dar hazina majira jamani,
   
 10. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Umeshalewa mchana wote huu
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  nipo njian kuelekea msiban,kuna abiria kateremka njian kumbe kabeba na ki-parcel cha abiria mwenzie.bahat nzur yule mwenye ki-parcel kamwona ikabidi amfate. sa cjui alichukua makusud ama alikifananisha na cha kwake. me na wewe hatujui!
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  bas mvua huwa ikinyesha kuna mtu kama Madame B huwa namuonea huruma,kwake huwa anakazi ya kuzibua choo,kuna mtu kama Junior. Cux na Erickb52 huwa ngili inawabana kwenye mvua kama ya leo sijui kama wamepona
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  emu angalia vilago vyako vizur visije chukuliwa,ukaanza kudata mara mbili,maana matatzo huwa yanakuja na mambo mengi...
   
 14. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  URA 1 - 2 APR hiki ni kipindi cha pili. robert sentongo ndo kaifungia URA
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  nyingne hii. . hapa shy kuna kibao cha TANROAD kimeandikwa huruhusiwi kufanya biashara lakn machinga ndo kwanza wametandaza biashara zao pemben ya kibao
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wewe na mimi tuko kwa tukio moja, APR & URA
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wewe na mimi tuko kwa tukio moja, APR & URA huku tukisubiri second mtanange Yanga & Mafunzo
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  me nina kirago kimoja tu na nimekipakata hapa mapajani!
   
 19. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Me nipo hom, hubby na mafundi wanasafisha taa, wakati wanasafisha yale maua ya taa 2 zimevunjika, yani nimeckia ayaaaa, 2ngevunja cc wengine 2cngelala humu ndani.
   
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mda huu nipo ndani kwangu naandaa futari huku nacheki Madagascar 3D,Baada ya kutoka kunako Office.

  Ila kiubaridi,mmhh.....
   
Loading...