Mpango wa bima ya afya ya Taifa ulianzishwa ili kuhakikisha hakuna anaekosa tiba wala dawa, wlaiojiunga hawajalalamika unayolalamika wewe, jee ni lini utahamasisha hii:
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wang’ara Kanda ya Ziwa
Nihamasishe nini? kuendelea kunyanyasika wakati nakatwa kodi? Wakati nahamasisha bima ya afya watu wateswe huko mahospitalini? Wapigwe?
Hizo bima za afya tunazo na zenyewe ni ubabaishaji tu, kama dawa hakuna na unakadi ndio utakayo meza? Bima zenyewe zimekuwa adhabu mpaka hospitali nyingine wamekataa kutibu wanaotumia bima tatizo lipo nje ya uwezo wa mgonjwa, wanajua wao kwa wao, dawa zimekwama bandarini bima itatoa? Sasa hivi baadhi ya hospitali wametangaza kabisa kusitisha matibabu kwa njia ya bima. Labda F.F angesema serikali ya Tanzania ikatiwe bima ya uendeshaji wa shughuli zake, maana ni ajali kubwa kuendeshwa na watendaji waliopo.
Waakati wa chaguzi wananchi wanachagua fisi kuongoza/linda kondoo sasa kondoo wakianza kuliwa wanashangaa na kujiuliza kwnnNdio ninachosema kila mara. Most of us, we learn things the hard way.
Haya sasa kikowapi wengine tulikuwa tunasema katiba mpya sio dili. Hawa jamaa inabidi wachochewe na maswala ya accountability serikarini huko ndio kwenye matatizo.
Hivi inawezekana vipi matatizo yaanze January hadi kupata air time mwezi wa November kweli atuoni kuna uzembe wa hali ya juu form regulatory bodies both those those who do financial auditing and from those doing monitoring of quality and performances on the sector.
Navyojua mimi kazi ya wakaguzi ni kuionya serikari either matendo ya kitengo ie matumizi, practices zao na mengineo yanapokuwa sio sahihi hili ijiandae au ijaribu kuepusha undesired outcome by intervening. isitoshe wanatakiwa kujua shirika kama lina weza fanya services na budget yao, wajue mipango yao ya shirika kufikia malengo ya serikari na kuionya serikari as the situation starts to get alarming si jamani ndio maana wakaguzi wa nchi za wenzetu wana sign sijui za green, amber and red hili serikari ijipange au iingilie kati kabla ya madhara kwa jamii. Sasa si tu kwamba dawa zimeisha bali hata uamuzi wa shirika kupandisha bei kumefukuzwa wagonjwa kisa sh5000; maana yake hali ya umaskini inatisha na sasa watu wanataka nyan'ganywa hata basic right health being part of general human welfare today.
Sasa wewe unadaiwa mabillioni kwenye madawa na leo unaleta takwimu wananchi wanaona afya ndio kipaumbele halafu unaamua kutumia kwenye katiba mpya.
I tell ya Afrikans we are the most pathetic people na tunalaumu kila external influence isipokuwa matendo yetu na tabia zetu wenyewe. Yaani kwa kweli sisi ni species wa ajabu sana.
Mpango wa bima ya afya ya Taifa ulianzishwa ili kuhakikisha hakuna anaekosa tiba wala dawa, wlaiojiunga hawajalalamika unayolalamika wewe, jee ni lini utahamasisha hii:
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wangâara Kanda ya Ziwa
Dah...mimi huwa nawashangaa waTanzania, ni wazuri sana wa kulalamika. Wakati maDaktari walipogoma walikuwa na madai mengi, yakiwemo ya kuboresha mazingira ya kazi (hospitali), upatinakaji wa uhakika wa madawa na vifaa tiba, na motisha kwa wahudumu wa afya (mishahara, alawansi za kuitwa dharura, na mrupurupu ya mazingira hatarishi na magumu)...lakini serikali 'kilaghai' ikawachonganisha maDaktari na wanachi wakaonekana walafi na wenye tama ya mishahara mikubwa. Wananchi walishindwa nini kuwaunga mkono maDaktari kwa hayo madai mengine yanayowahusu kama hakukubaliana na hilo la motisha!? Wananchi hao hao tena wagonjwa maowodini ambao ni mashahidi wa mazingira mabovu ya utoaji huduma za afya hospitalini hapo waliwashutumu maDaktari kwa maneno ya kukera tena kwenye vyombo vya habari...that was 2011! Leo hii wagonjwa wanalamikia kitu kile kile walicholalamikia maDaktari huko nyuma wakitegemea serikali hii itawasikiliza wao..wakati ilishindwa kuwasikiliza maDakatari na kuwaadhibu kidhalimu wakiwang'oa kucha na meno baadhi yao
tatizo linanzia kwanza Muhimbili
wao kma hospital mbna hawesemi juhudi za awali walizochukua kukabiliana na tatizo
Ni wakati muafaka mkaijuwa maana ya health insurance, siku hizi mpaka vijijini ipo.
Hivi huwa hamfatilii maendeleo? Elimikeni kuepuka majanga.
Jisomee, ili uwahi: National Health Insurance Fund
nikuulize luku ikiisha kwako utaenda mwajibisha balozi wa nyumba kumi?
Dah...mimi huwa nawashangaa waTanzania, ni wazuri sana wa kulalamika. Wakati maDaktari walipogoma walikuwa na madai mengi, yakiwemo ya kuboresha mazingira ya kazi (hospitali), upatinakaji wa uhakika wa madawa na vifaa tiba, na motisha kwa wahudumu wa afya (mishahara, alawansi za kuitwa dharura, na mrupurupu ya mazingira hatarishi na magumu)...lakini serikali 'kilaghai' ikawachonganisha maDaktari na wanachi wakaonekana walafi na wenye tama ya mishahara mikubwa. Wananchi walishindwa nini kuwaunga mkono maDaktari kwa hayo madai mengine yanayowahusu kama hakukubaliana na hilo la motisha!? Wananchi hao hao tena wagonjwa maowodini ambao ni mashahidi wa mazingira mabovu ya utoaji huduma za afya hospitalini hapo waliwashutumu maDaktari kwa maneno ya kukera tena kwenye vyombo vya habari...that was 2011! Leo hii wagonjwa wanalamikia kitu kile kile walicholalamikia maDaktari huko nyuma wakitegemea serikali hii itawasikiliza wao..wakati ilishindwa kuwasikiliza maDakatari na kuwaadhibu kidhalimu wakiwang'oa kucha na meno baadhi yao
Wacha porojo.
Afya ya Mtanzania wa leo imekuwa bora kuliko wakati wowote ule. Kikwete kawaondoa kutoka kwenye average ya life expectancy ya miaka 50 mpaka kawafikisha miaka 62, dogo hilo?
Wanaongelea au wanahororoja na kubwabwaja, hayo wadanganyeni wajinga wenzenu, kuna mambo mema chungu nzima mbona hamtaki kuwaelimisha Watanzania?
Badala ya kuchangiana harusi na kipaimara mngekuwa mnachangia bima ya afya zenu: National Health Insurance Fund
Ukiwanayo iyo wala husumbuki kuwa huna pesa ya dawa, na sasa hivi mpaka vijijini ipo. Hebu elimikeni kidogo, msingoje kila kitu kufanyiwa. Mkiitwa misukule hamtaki wakati mambo mazuri yapo hamtaki kuyatumia.