Ripoti iliyomng’oa Dk. Slaa yavuja

Ripoti iliyomng’oa Dk. Slaa yavuja

Tusidanganyane-Lowassa kupeperusha bendera ya UKAWA is the best option so far na CCM imewauma na wapo tayari kufanya kila jitihada kuivunja UKAWA miguu,kama sio kuipofua!!

Ujio wa Lowassa umeongeza mileage kubwa ya kura za UKAWA na popularity,huku akichagiza watu kujiandikisha kwenye BVR,kuna ubishi??!!

Lowassa ameigawa CCM ili hali sintofahamu ya Slaa na Lipumba haina impact kubwa UKAWA so far compare to Lowassa na damage aliyofanya CCM kwa wapiga kura kwa kila upande.

Lowassa ujio wake unaambatana na Mawaziri,madiwani,wabunge na wanachama kuliko ambavyo Lipumba na Slaa wangeweza kuingiza watu UKAWA. Lowassa amevunja mnyororo wa uongozi wa CCM wa Taifa,Kanda,Mkoa hadi Tarafa na Kijiji,tofauti na UKAWA mtikisiko wao,na hii Yote wanufaika WAKUU NI UKAWA,nani anabisha??!!

Naamini wazi kabisa kuwa CUF hawakuwa radhi Slaa awe mgombea uraisi halafu wao waje wamnadi-rejea dana dana zao Mwanzo,oh mara hadi wapate baraka,lakini wslirejea vizuri na ujio wa Lowassa,yote hii ni kutokana na marashi ya udini wa kiislamu ambayo hapo nyuma walitumia kujifukiza,ukitaja Slaa kwa wadini unaleta mwangi wa u-padri,mwangi wa UKATOLIKI,wangewaambiaje wale waliowaambia 2010 tumsaidie MUISLAMU mwenzetu Kikwete asishindwe na ------??!!

Lowassa amekuja na nguvu ya mvuto,hamasa na nguvu ya huruma pia kuwa CCM ya Kkwete ina hinda nae tu,vyote hivi ni faida kwa UKAWA na CDM,hapo bado nguvu ya raslimali!!

Kati ya Slaa na Lipumba,yupi angeleta inputs kubwa kuliko Lowassa??!! Nani Kati Yao angefanya damage kuuuubwaa kabla hata ya kampeni ya Uchaguzi??!!

Slaa na Lipumba wanaumuhimu UKAWA,ile ujio wa Lowassa ni sawa na mvua kwenye shamba liliopandwa mbegu,tushirikiane kupalilia,kulinda mazao,tuhamasishane wakati wa kuvuna ili tufurahie mavuno na kusahau machungu,kila mtu ni Muhimu kwa upande wake,CCM ni kama Nzige,Tumbiri,Nguruwe,Panya na wadudu waharibifu,hawatoacha hila!!!
 
Dr.W.Slaa namshauri afanye utafiti mwingine kama akijitoa chadema atashuka kisiasa au atapanda juu
 
Last edited by a moderator:
Dr.W.Slaa namshauri afanye utafiti mwingine kama akijitoa chadema atashuka kisiasa au atapanda juu

Siyo lazima awe mwanasiasa ama aongee na Maguguri aje ampe wizara mojawapo fresh tu
 
Last edited by a moderator:
Tutajuaje uwenda ulikuwa utafiti wa kuwalaghai wapinzani wao...halafu, hiyo idadi ya walioluzwa ni ndogo ukilinganisha na idadi ya watanzania watakaopiga kura (1000: 20,000,000)...!? Huoni yawezekana viongozi wa CDM waliona kasoro hiyo...!? nawaza....!
Ndiyo yale yale ya Rais Mkapa alipoteua tume iliyokuwa inaongozwa na Jaji Warioba ili kuchunguza mianya ya Rushwa na kupendekeza njia ya kuiziba mianya hiyo. Baada ya repoti kupewa akaishia kuiweka kwenye makabati badala ya kuifanyia kazi.

Yaani CHADEMA waunde chombo cha kutafuta tathmini halafu baadaye tena wakikosoe katika tathmini zake wakati wamekipatia hadidu za rejea.

Eti utafiti wa kuwalaghai wapinzani. Kweli?

Hizi ni siasa za makengeza!
 
....
Yaani CHADEMA waunde chombo cha kutafuta tathmini halafu baadaye tena wakikosoe katika tathmini zake wakati wamekipatia hadidu za rejea....!
Mbowe kasema siasa ni dynamic, hivyo hivyo na vyombo vinavyotokana na vyama vya siasa ni dynamic vivyo hivyo na adidu za rejea zilizopewa vyombo hivyo vya kisiasa ni dynamic....upo hapo, ..."gea inabadilishiwa angani"...! Mkuu ni dynamics tu kwenda mbele; bado haujamwelewa Mh. Mbowe ?
 
by Sabung'ori;
"Dk. Slaa ni mwanasiasa ambaye
anakubalika zaidi kusimamishwa na
UKAWA katika kiti cha urais
ikizingatiwa kuwa Lowassa
amekoswa kuteuliwa CCM katika
kinyang’anyiro hicho".

...tafuteni njia nyingine ya kunfa propaganda, hii ya mwaka 47 haitawasaidia...utafiti umefanywa baada ya Lawasa kukatwa?...watu waongo ni wasaulifu sana...



Mkuu Sabung'ori hapo ulipoquote paragraph ya juu hawa mbulula wanasema hii "utafiti huu umefanyika kabla ya michakato ya kuteua wagombea kwenye vyama"


Alafu chini yake wanasema "ikizingatiwa kuwa lowasa amekoswa kuteuliwa....."

UTAFITI GANI UNAKINZANA HIVI?????

NYAMBAFFUUUUU CCM MMESHACHANGANYIKIWA!
 
Last edited by a moderator:
Mbowe kuna kauli amekuwa akiirudia rudia ya kuwa mabaya ya jana yasitufanye tushindwe kuangalia mazuri ya Kesho! Kauli hiyo ilitolewa na rais Bill Clinton alipokuja Arusha. Hata hivyo kauli hiyo ina maana Chadema imeamua kuachana na hoja ya ufisadi kwani si tatizo tena kwani Lowasa yuko Chadema. Hiyo kauli inakula sehemu zote. Hata CCM wanaweza sema hivyo hivyo. Lakini hatari ninayoiona katika kampeni ya mwaka huu ni kumezwa na ugamvi wa ndani ya CCM. Lowasa alilia kuhujumiwa kwamba wanahujumiwa sana ila atashinda asubuhi, kabla kura hazijapigwa. CCM wanasema kuwa hawaoni mtu wa kuwashinda kwani wanashindana na Makapi ya CCM (kauli ya Kinana). Hii ndo hatari inayotukabili watanzania. Serikali yoyote itakayoingia ufisadi si ajenda.
 
Back
Top Bottom