Wewe unaamini kabisa kwamba mtu anaweza kuacha maisha mazuri anayopata kwenye nchi yake na kuingia vitani ili kupigania demokrasia,sheria na kuhoji? Mimi nadhani kama kweli hiyo ndio asili ya binadamu basi hata hizi tawala za kifalme sizingewahi kuwepo.Sheria ,kuhoji na democrasia hivi madikteta wanaviogopaga sana.pamoja nagaddafi kutoa huduma zotehizo kwaraia,olewako uthubutu kufanya vitu vitatu tajwa hapo juu...
Hivi nikujibu kwanjia yaswali,unavompeleka mwanao shule hua unategemea nn toka kwake?Wewe unaamini kabisa kwamba mtu anaweza kuacha maisha mazuri anayopata kwenye nchi yake na kuingia vitani ili kupigania demokrasia,sheria na kuhoji? Mimi nadhani kama kweli hiyo ndio asili ya binadamu basi hata hizi tawala za kifalme sizingewahi kuwepo.
Naona umeanza kutoka povu kwa marehemu. Wewe haujawahi kufika Libya na story sijui za kuhudumiwa kila kitu na Ghadafi umezisoma mtandaoni. Nchi zozote hutangazwa kwa mazuri tu mabaya hufichwa. Ghadafi ni dikteta na sifa mojawapo ya dikteta ni kutaka kuongoza yeye tu (Kung'ang'ania madaraka). Ghadafi yumo kwenye kapu moja na Mugabe, Kurunzinza, Kagame na wengine. Wewe nchi ya watu wote unataka kuongoza wewe tu. Wewe kama nani? Ghadafi alikuwa siyo mtu mzuri kwasababu alikuwa anatengeneza mazingira ya kuongoza yeye tu na kizazi chake na unayoona Libya ni kwasababu ya uongozi mbovu uliuweka na Ghadafi wa kumtegemea mtu mmoja tu. Angekuwa mtu mzuri angekuwa ameshaanda watu wengine wa kuongoza nchi. Ghadafi anajulikana kama dikteta. Kuanza upya siyo ujinga. Kwa wanayopitia watu walibya ndiyo itawafanya nchi iwe ya watu wote na siyo mali ya mtu. Afadhali wameliua maana alitaka ajimilikishe nchi kama yake. Safi sana Marekani kwa kuwaondoa madikteta. Mimi siamini Ghadafi alikuwa mtu mzuri, angekuwa mtu mzuri wanaLibya wasingeshika bunduki kupigana na kiongozi dikteta ambaye hataki kuachia nchi yao.Hoja yako ni ipi mkuu bado hujaeleweka naona unabwabwaja tu? Kuna sehemu nimesema nilikuwa nampenda Gadafi humu?
Kwani Ghadafi nchi ni ya kwake mpaka atake kuongoza yeye tu?Sasa mbona ametoka ,wapo wenyewe Nchi haitawaliki,pale angesema naondoka ,kundi linalomtaka na wasio Mtaka wangevurugana sasa hakukua na msingi mzuri
Walidanganywa na wahuni wa Benghazi...yamewatokea puani!!!!Ameshaondoka.
wananchi wa Libya WAKO HURU SASA.
Shule zipo kwa ajiri ya kutoa elimu.Hivi nikujibu kwanjia yaswali,unavompeleka mwanao shule hua unategemea nn toka kwake?
Mkuu nimekuuliza kama kuna sehemu nimesema humu kuwa nilikuwa nampenda Gadafi? Jaribu kusoma na kuelewa kwanza sio kukurupuka. Mie ndio sijawahi kwenda Libya na wala sijazingumzia habari za kwamba Gadafi alikuwa kiongozi mzuri wala aliwafanyia mazuri walibya ila nyie mlieonda Libya sioni cha tofauti mnachoeleza zaidi ya yaleyale ya mitandaoni,wanachopitia walibya sasa kila mtu anakiona hakina utata sasa hoja yangu ni sababu ipi hasa ya msingi iliyowafanya walibya kuchukua uamuzi uliyopelekea kupitia haya?Naona umeanza kutoka povu kwa marehemu. Wewe haujawahi kufika Libya na story sijui za kuhudumiwa kila kitu na Ghadafi umezisoma mtandaoni. Nchi zozote hutangazwa kwa mazuri tu mabaya hufichwa. Ghadafi ni dikteta na sifa mojawapo ya dikteta ni kutaka kuongoza yeye tu (Kung'ang'ania madaraka). Ghadafi yumo kwenye kapu moja na Mugabe, Kurunzinza, Kagame na wengine. Wewe nchi ya watu wote unataka kuongoza wewe tu. Wewe kama nani? Ghadafi alikuwa siyo mtu mzuri kwasababu alikuwa anatengeneza mazingira ya kuongoza yeye tu na kizazi chake na unayoona Libya ni kwasababu ya uongozi mbovu uliuweka na Ghadafi wa kumtegemea mtu mmoja tu. Angekuwa mtu mzuri angekuwa ameshaanda watu wengine wa kuongoza nchi. Ghadafi anajulikana kama dikteta. Kuanza upya siyo ujinga. Kwa wanayopitia watu walibya ndiyo itawafanya nchi iwe ya watu wote na siyo mali ya mtu. Afadhali wameliua maana alitaka ajimilikishe nchi kama yake. Safi sana Marekani kwa kuwaondoa madikteta. Mimi siamini Ghadafi alikuwa mtu mzuri, angekuwa mtu mzuri wanaLibya wasingeshika bunduki kupigana na kiongozi dikteta ambaye hataki kuachia nchi yao.
Kwani hata wakibadilisha rais kila mwezi ndio itafanya kila raia kuwa kuwa rais ama vp? Na siku zote wanaopigana vita kama hizi za madaraka ni kwamba wote wanauchu wa madaraka we muangalie Museven kapigana kumtoa Idd amini ila angia anachofanya yeye sasa. Hivi kweli raia wa kawaida aingie vitani kisa kiongozi hataki kuwapisha wenzie nao waongoze hii sidhani.Kwani Ghadafi nchi ni ya kwake mpaka atake kuongoza yeye tu?
Libya nzima mwenye akili ya kuongoza nchi ni yeye tu Ghadafi?
Mugabe, Nyerere na Mandela baada ya kuachia madaraka, watu walianza kupigana wao kwao kugombea madaraka?
Misri baada ya kutaka raisi wao atoke madarakani, waleendelea kupigana? Mbona Misri sasa hivi ni shwari tu pamoja na nchi za North Afrika zilizoingia kwenye machafuko ya kutaka raisi atoke madarakani.
WEWE NI KAMA NANI UNATAKA KUONGOZA NCHI PEKE YAKO? UKITAKA KUWA RAISI MILELE KAWE RAISI KWENYE FAMILIA YAKO NA SIYO NCHI
Jibu nilichokuulizaShule zipo kwa ajiri ya kutoa elimu.
Nimekujibu kuwa lengo la shule ni kutoa elimu sasa utaniulizaje tena lengo la kumpeleka mwanangu shule wakati inajulikana lengo kule ni elimu au ulitaka nikujibu nampeleka shule mwanangu ili kujua kuimba?Jibu nilichokuuliza
Unapoongoza nchi yenye uongozi wa uraisi ujue unaukomo na ukumbuke nchi ni ya watu wote. Kuwapa kila kitu wananchi wako siyo kigezo cha wewe kukaa madarakani muda wote. Mbona wenzake hawakuingia vitani walioikomboa nchi zao kutoka kwa wakoloni au kutoka kwa viongozi wadhalimu? Unafikiri Mugabe naye angekomaa kama Ghadafi unafikiri nini kingemkuta? Sasa hivi hapa Tanzania kuna kampeni za chini chini zinaendeshwa ili huyu bwana aongezewe muda. Watu wakiingia msituni utawalaumu? Mbona nchi zilioendelea huu ujinga wa watu kung'ang'ania madaraka haupo? Idd Amini, Mseveni, Ghadafi, Mandela na wengine ni wale wale wanapishana tarehe za kuzaliwa tu ila tabia zao ni moja. WANA UCHU WA MADARAKAKwani hata wakibadilisha rais kila mwezi ndio itafanya kila raia kuwa kuwa rais ama vp? Na siku zote wanaopigana vita kama hizi za madaraka ni kwamba wote wanauchu wa madaraka we muangalie Museven kapigana kumtoa Idd amini ila angia anachofanya yeye sasa. Hivi kweli raia wa kawaida aingie vitani kisa kiongozi hataki kuwapisha wenzie nao waongoze hii sidhani.
Nimekwambia hata kila mwezi kuwe kunafanyika uchaguzi na kubadilishwa rais hiyo haitofanya kila raia kupata hiyo nafasi ya urais hivyo lazima tu hiyo nafasi iwe kwa watu wachache tu,sasa iweje raia wa kawaida aingie vitani kisa kiongozi aliyepo madarakani hataki kuwaachie wenzake madaraka? Ndiyo maana nakwambia mara nyingi viongozi wa haya mapambana ya sijui kumtoa kiongozi asiyetaka kuachia madaraka huwa ni wenye uchu wa madaraka au masilahi yao binafsi tunaona akina Museven na wenzie. Huyo Mugabe katolewa na si kwamba alitoka tu mwenyewe.Unapoongoza nchi yenye uongozi wa uraisi ujue unaukomo na ukumbuke nchi ni ya watu wote. Kuwapa kila kitu wananchi wako siyo kigezo cha wewe kukaa madarakani muda wote. Mbona wenzake hawakuingia vitani walioikomboa nchi zao kutoka kwa wakoloni au kutoka kwa viongozi wadhalimu? Unafikiri Mugabe naye angekomaa kama Ghadafi unafikiri nini kingemkuta? Sasa hivi hapa Tanzania kuna kampeni za chini chini zinaendeshwa ili huyu bwana aongezewe muda. Watu wakiingia msituni utawalaumu? Mbona nchi zilioendelea huu ujinga wa watu kung'ang'ania madaraka haupo? Idd Amini, Mseveni, Ghadafi, Mandela na wengine ni wale wale wanapishana tarehe za kuzaliwa tu ila tabia zao ni moja. WANA UCHU WA MADARAKA
Tujulishe miradi iliyofadhiliwa na muamar gadafi hapa tzKama Gadafi hajutufanyia lolote zaidi ya kujenga misikiti hiyo pesa unayosema ilipigwa/ilitafunwa na BM ni ipi?
Kwa hiyo nchi nzima ya libya hapakuwa na mwingine anayefaa kuongeza nchi endapo gadafi angeruhusu uchaguzi huru?Angeacha madaraka kisha akaingia mwenye kuweka mbele maslahi ya Libya bado wangemuandama pia.
Aliuawa na kusodomiwa na walibya wenzieGhadafi ameuwawa. Je, aliyemuua Ghadafi ni nani? Na nani atashitakiwa kwa mauaji ya Ghadafi?
Angekuwa kiongozi makini angejenga mifumo thabiti ya utawala ktk nchi yake, iweje afe yeye mtu mmoja nchi yote iparaganyike?Gaddafi kauliwa kimkakati...
He was a very strong leader, a leader with missions and visions not only to libya but to whole of Africa...
Cc: mahondaw
Well saidWale waliokuwa wanaishi kwenye vibanda kule Benghazi ukiwaambia wameharibu nchi nzima kwao ina tofauti gani? Huo uharibifu unawapata waliokuwa wakiishi vizuri. Umepanic tu bure, upumbavu wa mkulima humuathiri mkulima lakini upumbavu wa mfalme ni janga la taifa zima.
Hoja yangu haiondoki kwa kuwa Libya imeharibika, bado ni ujinga wa Gadaffi ndio umeharibu Libya. Kupata nafasi ya kuongoza haimaanishi akili zako zinaongezeka, wewe utabakia kuwa mwanadamu tu na siku moja utakufa.
Kiongozi mzuri ni yule ambaye atakaa madarakani akiasisi taasisi imara badala ya yeye kujiimarisha. Ujinga wa umungu mtu ni kwamba, when you are gone, you go with your dreams. Kama unafikiri Waafrika tunapenda kutupa lawama kwa viongozi wetu basi hujui maana ya DHAMANA na UWAJIBIKAJI. Ulitaka tukamlaumu nani? Tulaumu 'mabeberu'?
Hii ni baada ya waarabu wenzie kumshtukia kuwa anataka yeye ndiye awe bosi wa Arab leaguekatika uzee wake aliipenda africa kuliko waarabu na alijipanga kushirikiana na waafrika zaidi siku zijazo ikiwa ni pamoja na kufadhiri miradi ya pamoja ya maendeleo
Alikuwa mbaguzi wa kutupwaKwa nini asingeanza kwa kuruhusu waafrica wote waingine Libya kirahisi rahisi
Viongozi wetu ndio kizingiti kikuuYani mie nazungumzia vifo vya maelfu ya watu na wengine ni wakimbizi sasa nchi haikaliki tena halafu wewe unakuja kusema wale waliyokuwa wanakaa kwenye vibanda wanaona sawa tu! Hivi kweli unaweza kufananisha tabu ya kukaa kwenye vibanda na hali ya sasa inayoendelea Libya? Halafu kwa ujinga kama huu ndio tunategemea tutowe viongozi wasiokuwa na ujinga? Jinsi tulivyo waafrika ndivyo na viongozi wetu walivyo huku kulaumu tu viongozi kana kwamba tumeletewa tu kutoka sijui sayari gani huko ndio inazidi kuonesha ujinga wetu.
Hivi kweli matatizo ya afrika miaka yote iwe viongozi tu pamoja na kuwabadilisha ila bado tatizo liko palepale,lazima tujiulize hawa viongozi tunawatoa wapi? Angalia siasa zetu yani watu wanachokipinga kinachotakwa kufanywa ccm ila anakuja kukitetea kitu kama hicho kikifanyika Cdm tena kwa hoja zilezile za ccm,halafu watu hawa nao bado wanaona viongozi wao tu ndio wajinga na ndiyo wenyewe matatizo.