RIP

RIP

Häaa daaa, kweli RIP. Nikajua huyo jamaa ndio ka RIP!!

Ila alipotea saaaana kandoro mpaka kasahulika!!!
Alale kwema bwana.
 
Kashika mkononi maji ya kiroba maarufu kama maji ya Kandoro.... Kandoro kafariki leo
Hizi fasihi nyingine ni za kiwango cha juu sana,ndio maana wengi tulikuwa hatujafikishwa kileleni 😀😀😀😀😀 mwa habari
 
Mzee kaacha identity yake, mimi nitaacha nini hapa duniani,,,,,,

Wacha nipambane
 
Alikuwa kiongozi mwenye uelewa sana. Mbeya chini yake hakukuwa na ujinga wa hovyo hovyo.
RIP Kandoro [emoji120] [emoji120]
Mzee kaacha identity yake, mimi nitaacha nini hapa duniani,,,,,,

Wacha nipambane
Ulimwengu wa roho katika picha ni kitu cha ajabu sana... Kabla ya kifo cha Kandoro hiyo picha isingekuwa na maana yoyote kubwa...... Lakini sasa inaweza kujizolea umaarufu
downloadfile.jpg
 
Mzee Makamba aliwaambia wenzie kuwa ukiondoka madarakani ndio basi kwani hata ukipiga simu ofisini kwako kwa zamani hawapokea simu zako!!!
Tungojee wa sasa atakavyo toka itachukua muda gani kusahalika
 
Ulimwengu wa roho katika picha ni kitu cha ajabu sana... Kabla ya kifo cha Kandoro hiyo picha isingekuwa na maana yoyote kubwa...... Lakini sasa inaweza kujizolea umaarufu View attachment 758446
Hakika, nakumbuka miaka hiyo watu wanajifungia ndani (mtaa wa Ndalala Temeke) wanachomelea maji ya Kandoro kwenye mifuko ya nailoni kwa bei ya jumla sh.30 na leja leja ilikuwa sh 50.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom