nawafikiria mke na watoto wake, wanapitia kipindi kigumu sana. Nadhani watakuwa wanafikiri labda yuko posta na jioni anaweza kurudi surprisingly.
poleni sawa wafiwa kubalianeni na hali kwamba inawapata wote nyinyi si wa kwanza na maisha ndivyo yalivyo, so sad ni kipindi kigumu sana