MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,752
- 71,655
Moja ya unyang'au wa huyu jamaa ni kipindi kile wamewapandikizia Waajemi Stuxnet Virus. Sijui huwa wanawazaga nini hawa jamaa yani. Hivi mkuu mng'ato unaukumbuka huu umafia waliofanyiwa Iran kwenye vinu vyao vya nyuklia ?Ongezea hapo na king of shadows, Meir Dagan
Moja ya unyang'au wa huyu jamaa ni kipindi kile wamewapandikizia Waajemi Stuxnet Virus. Sijui huwa wanawazaga nini hawa jamaa yani. Hivi mkuu mng'ato unaukumbuka huu umafia waliofanyiwa Iran kwenye vinu vyao vya nyuklia ?
Ila linapokuja suala la utaifa nadhani Wayahudi ni watu makini sana. Jamii yao iko very Meritocratic, kuna sehemu niliwahi kusoma kwamba kule Israel huwezi kupanda cheo kwa kupitia mjomba wala shangazi. Ukizungua hata uwe kiongozi wao mkubwa lazima wakuue ili uwe mfano. Kuna yule Waziri Mkuu wao Yitzak Rabbin aliyetaka kufanya makubaliono na wapalestina wakati wayahudi hawataki jamaa walimtwanga risasi akafa.Holocaust itakuwa iliwaharibu vibaya sana kwenye fikra zao hawa watu, ndo maana huwa hawasiti wala kufikiria mara mbili kumwondoa mtu wanayeamini ni adui kwao.
Wewe fikiria mtu kila ofisi aliyokuwa anakaa lazima aweke ile picha iliyokuwa inaonyesha mzee aliyekuwa anabembeleza watu waliokuwa wanataka kumwua wamsamehe, mzee ambaye Dagan alikuwa anaamini ni babu yake, Hapo utategemea kweli awe na chembe hata ya huruma?
Moja ya unyang'au wa huyu jamaa ni kipindi kile wamewapandikizia Waajemi Stuxnet Virus. Sijui huwa wanawazaga nini hawa jamaa yani. Hivi mkuu mng'ato unaukumbuka huu umafia waliofanyiwa Iran kwenye vinu vyao vya nyuklia ?
Huo mfumo wao unawasaidia sana, japokuwa wengi wao pia ni brilliant.Ila linapokuja suala la utaifa nadhani Wayahudi ni watu makini sana. Jamii yao iko very Meritocratic, kuna sehemu niliwahi kusoma kwamba kule Israel huwezi kupanda cheo kwa kupitia mjomba wala shangazi. Ukizungua hata uwe kiongozi wao mkubwa lazima wakuue ili uwe mfano. Kuna yule Waziri Mkuu wao Yitzak Rabbin aliyetaka kufanya makubaliono na wapalestina wakati wayahudi hawataki jamaa walimtwanga risasi akafa.
NB: Israel usipokuwa na uwezo huwezi kuwa kiongozi wa ngazi za juu hata siku moja,hasa kwenye vyombo vya usalama.
Lazima uwe brilliant maana bila kuwa brilliant huwezi kufika mbali kwenye jamii kama ile. Kuna kipindi waliwahi kumrekodi Richard Nixon akisema hawaamini sana Wayahudi na wanavuruga Marekani alisema "These Jews are natural born spies"Huo mfumo wao unawasaidia sana, japokuwa wengi wao pia ni brilliant.
They are natural born spies because they live in constant fear, they feel insecure irrespective of the weapons they posses in their arsenal.Lazima uwe brilliant maana bila kuwa brilliant huwezi kufika mbali kwenye jamii kama ile. Kuna kipindi waliwahi kumrekodi Richard Nixon akisema hawaamini sana Wayahudi na wanavuruga Marekani alisema "These Jews are natural born spies"
Moja ya Kazi za Rafia Eitan ni operation BREN. Hii ilikuwa ni operation ya kumkamata na kumrudisha commando wao aitwaye ALEXANDER AVNER aliyekuwa ameasi kwa kuuza taarifa za nuclear weapons Kwa nchi Ya Misri. Alexander alikimbilia Italy. Kumsaka Komando AVNER ilikuwa hatari ana machale na mbinu Kali lakini Walikuja kumkamata nchini Ufaransa. Ilikuwa hatari tupu Mbwa Kala mbwaMoja ya unyang'au wa huyu jamaa ni kipindi kile wamewapandikizia Waajemi Stuxnet Virus. Sijui huwa wanawazaga nini hawa jamaa yani. Hivi mkuu mng'ato unaukumbuka huu umafia waliofanyiwa Iran kwenye vinu vyao vya nyuklia ?
Wako organised kiasi ambacho sicho cha kawaida. Mimi nimeshuhudia wayahudi wanaonana mara ya kwanza lakini baada ya wiki wanakuwa wamezoeana utafikiri wamefahamiana kwa miaka 10. Wanasaidiana na kubebana sanaa.Watu Wengi husema wayahudi ni natural genius ndio maana wanaweza kushinda mambo mengi. Mimi naamini wayahudi wako well organized Kutoka kizazi Kimoja mpaka kingine. Kwa mtazamo wangu Nadhani ndio Taifa lenye watu wazalendo kwa taifa lao kuliko Taifa lingine lolote. Kuwa well organized inasaidia kurithishana ujuzi toka kizazi mpaka kizazi. Kumbuka Kuna mwandishi mmoja toka Uingereza aliwahi kuandika kuwa Christianity left Israel as one family and went to Roma Italy as religion.
Hapo tu utaelewa kuwa Jews wanaishi kama one family all over the world
Sent using Jamii Forums mobile app
MOSSAD hii michezo ya kuteka na kuua watu nje ya mipaka yao wanaipenda sana. Kuna yule mwanasayansi wao anaitwa Mordechai Vanunu aliyetoa siri kwa Waingereza kwamba Israeli inamilikia silaha za kinyuklia. Walimdakia huko Italia na kumrudisha Israel kushitakiwa.Moja ya Kazi za Rafia Eitan ni operation BREN. Hii ilikuwa ni operation ya kumkamata na kumrudisha commando wao aitwaye ALEXANDER AVNER aliyekuwa ameasi kwa kuuza taarifa za nuclear weapons Kwa nchi Ya Misri. Alexander alikimbilia Italy. Kumsaka Komando AVNER ilikuwa hatari ana machale na mbinu Kali lakini Walikuja kumkamata nchini Ufaransa. Ilikuwa hatari tupu Mbwa Kala mbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
MOSSAD wako vizuri lakini nadhani sehemu nyingine wanazidisha na kufanya propaganda ili kutishia watu hasa maadui zao (Psychological Warfare). Warusi na Wamarekani walikuwa wanatumia sana hii mbinu kipindi cha vita baridi. Mashirika ya kijasusi yakitoa taarifa usiziamini sana, nyingi huwa zimechakachuliwa au siyo za kweli.Hawa jamaa pamoja na mabalaa yote kwenye hizo Mission zap za Kijasusi kweli kweli lakini bado wana Guts za ku share details za hizo Ops..
Sijui wanajiamini nini? Huku kwetu sijui kama tunaweza hii, I'm just thinking.
Rip kamanda wafuga majini wa kiarabu hawana ubavu tena viva mosad
Naamini Kibbutz ina mchango mkubwa sana kuwaleta karibu IsraelitesWako organised kiasi ambacho sicho cha kawaida. Mimi nimeshuhudia wayahudi wanaonana mara ya kwanza lakini baada ya wiki wanakuwa wamezoeana utafikiri wamefahamiana kwa miaka 10. Wanasaidiana na kubebana sanaa.