MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,759
- 71,780
Naam, jamii za watu wa mashariki ya kati wanajua sana kujipanga vizuri. Hata Waarabu wanajua sana kujipanga, hasahasa kwenye Financial Management: wananishangaza sana.Naam mkuu! Suala sio mko kiasi gani bali mmeji-organise kiasi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama manyanyaso hata weusi wamenyanyaswa sana huko Marekani lakini mbona hawabadiliki kabisa na kila siku wanazidi kuvurugikiwa ?Historia chafu, mateso na manyanyaso waliyowapata hawa watu na hasa kuishi 'ugenini' kuliwafanya akili ziamke na kuyasaka maisha kwa nguvu zote. Ni kama 'watoto wa kambo tu' au watoto waliolelewa bila wazazi, wengi wao huwa ni wenye mafanikio sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mwanangu umeulizwa kushoto.. umejibu kuliaKwahiyo huyo mzungu muuaji alikua mtume?
Ningependa kujua zaid kuhusu huyo mtaalamOngezea hapo na king of shadows, Meir Dagan
Mkuu majibu lazima wanayo, maana mafanikio kwa binadamu huwa hayaji kwa bahati mbaya hata siku moja.Ni swali ambalo hata wao wanaweza wasiwe na jibu lenye kukata kiu.
KWA HILO BONGO NGUMU WATAKUA WANATUMIKA KUWAMALIZA WAPINZANI NA SI KWA MASLAHI YA TAIFAKila nchi inahitaj vichwa kama hiv.. sio kwa ubaya bali kuteleza ubaya kwa faida ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani muda umefika. 92 si mchezo.Yap....sijafurahia kifo chake ila naona ni bora alivyopumzika
Watu weusi wamekuwa brainwashed tofauti na israel walipokuwa kwenye camp za mateso. Ilikiwa ni direct mateso but no brainwash.Mkuu kama manyanyaso hata weusi wamenyanyaswa sana huko Marekani lakini mbona hawabadiliki kabisa na kila siku wanazidi kuvurugikiwa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishawahi kuwa brainwashed na Wagiriki kipindi cha Antiochus IV hadi wakaanza kula kitimoto, kuoa wanawake wazungu, ushoga na kutofanya tohara. Umeshawahi kuwasikia Wamakabayo mkuu ?Watu weusi wamekuwa brainwashed tofauti na israel walipokuwa kwenye camp za mateso. Ilikiwa ni direct mateso but no brainwash.
Still waliweza ku maintain identity yao to the end
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia from World war II. Ambayo ili wa dismantle vibaya mno. It not about ancient history wkt huo hakukuwa na serikal za kueleweka.Walishawahi kuwa brainwashed na Wagiriki kipindi cha Antiochus IV hadi wakaanza kula kitimoto, kuoa wanawake wazungu, ushoga na kutofanya tohara. Umeshawahi kuwasikia Wamakabayo mkuu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka kusoma istoria yake kiufupi. Mshkaji was a dedicated officer. At the same time professional killerSoma kitabu cha Mossad"the killing machine' utamjua vzr huyo jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukitazama maendeleo ya nchi moja na nyingine, ukanda mmoja na mwingine, pande moja hadi nyingine ya dunia lakini muhimu mbali (race) moja hadi nyingine, nilichokigundua ni kuwa Historia, imani (dini), mazingira (geography) inaathiri sana misingi mikuu ya maendeleo.Mkuu kama manyanyaso hata weusi wamenyanyaswa sana huko Marekani lakini mbona hawabadiliki kabisa na kila siku wanazidi kuvurugikiwa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio kanielewa
Naelewa lakini Wayahudi wamekuwa watata sana hata kabla ya vita ya pili ya dunia, maana kuna kikundi cha Wayahudi kama 40,000 kikiongozwa na Vladmir Lenin, Kamanev na Trotsky na wenzake walipundua Urusi yote na kuvuruga kabisa mzani wa dunia. Kuna kigenge kingine cha Wayahudi kilikuwepo kule Ujerumani na Austria kikiongozwa na Theodor Herlz ndiyo kilimpokonya Ujerumani ushindi wa vita ya kwanza ya dunia mwaka 1917. Kuna kigenge kingine cha Wayahudi ndicho kikiongozwa na Paul Warbug ndicho kilitengeneza The Federal Reserve ya Marekani ambayo ndiyo inaendesha Marekani ya leo.Nazungumzia from World war II. Ambayo ili wa dismantle vibaya mno. It not about ancient history wkt huo hakukuwa na serikal za kueleweka.
Kwa kilichowatokea na bado wamestahimili na kurudi nyumban kweli wame fight.
Muweke mwafrika kwenye similar scenario uone kama hajageuka na kusupport wakoloni.
(And kuhusu kula kitimoto. Hilo halikwepeki.. mdudu is there for life hahahaa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukitazama maendeleo ya nchi moja na nyingine, ukanda mmoja na mwingine, pande moja hadi nyingine ya dunia lakini muhimu mbali (race) moja hadi nyingine, nilichokigundua ni kuwa Historia, imani (dini), mazingira (geography) inaathiri sana misingi mikuu ya maendeleo.
Misingi hii ni hii... MAADILI, UWAJIBIKAJI, UADILIFU, UTII WA SHERIA, NIDHAM NA MAPENZI YA KAZI, KUJALI MUDA NA AHADI NA MUHIMU ZAIDI ULE MOYO WA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA.
Chukua mfano, mimi nimekulia mikoa ya tabora.. Historia na misingi ya imani kule imeathiri familia na jamii kwa ujumla na kuifanya kuwa nyuma kabisa kimaendeleo ukilinganisha na mikoa kama ya kule kaskazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka kusoma istoria yake kiufupi. Mshkaji was a dedicated officer. At the same time professional killer
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuu.Ukipata nafasi msome zaidi utaona umuhimu wake huyu jamaa kwa waisrael, mpaka kuongezewa mda wa kuiongoza mossad zaidi ya ule uliowekwa haikuwa kazi ndogo.
Mbona unapepesa