Hata mimi sikujua hadi nilipoona watu wanaandika kwenye wall yangu facebook (I am a fan, yaani yule fan hasa)... Wimbo unazungumzia ni YAMORE, katika nyimbo zake maarufu. Huu hapa:oh nooooo....R.I.P Cesaria......
huyu mama ninapenda sana nyimbo zake haswa ile aliyoimba pamoja na Salif Keita......
kweli kifo hakina adabu......
dogi... Kifo hakitukanwi aiseeoh nooooo....R.I.P Cesaria......
huyu mama ninapenda sana nyimbo zake haswa ile aliyoimba pamoja na Salif Keita......
kweli kifo hakina adabu......