RIP ALLY YANGA

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
158,799
2,000
Hii ndio gari iliyopata ajali na kuchukua uhai wa shabiki maarufu wa timu ya yanga Ally Yanga
IMG-20170620-WA0212.jpg
IMG-20170620-WA0031.jpg
IMG-20170620-WA0029.jpg
 

folota

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
229
250
CHANZO CHA MAPATO YAKE KILIKUWA NINI MAANA KILA TUKIO LINALOHUSISHA WATU WENGI ALISHIRIKI
 

marcus rojo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
1,496
2,000
Aliemwambia akakimbize mwenge nani? Vitu ambavyo havinaga faida kwa watanzania mwenge? WTF?? anyway
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,408
2,000
Tutakukumbuka katika jitihada zako za kuhakikisha Jembe Magufuli anatinga Ikulu....

TINGA TINGA LIKO UWANJANI
 

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,946
2,000
Zile speed za magari ya mwenge hupaswi kuiga asee, kwenye vumbi hamuonani ila ndukiii mtindo mmoja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom