Ringtone za nyimbo za CHADEMA

sijui ka unaweza download ila mimi ninao mmoja ila nimeupata kwa kutransfer via bluetooth unaitwa tuwamwage ni mzuri mbaya kabisa
 
sijui ka unaweza download ila mimi ninao mmoja ila nimeupata kwa kutransfer via bluetooth unaitwa tuwamwage ni mzuri mbaya kabisa

Mkuu mi naongelea zile ambazo mtu akikupigia afu anasikia.
 
nipigie mie,zain number zangu upo!ukiusikia tu we bofya star,utakuwa umejiwekea
 
Back
Top Bottom