Ringtone za kimahaba

Ringtone za kimahaba

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,467
Reaction score
11,641
Hivi nyie mnaoweka ringtone za mahaba mahaba huwa mnafikiria nini? Yaan simu ikiita kama mko ofisin au sehem nyingine ya heshima hadi unaona aibu.

Kuna kijana hapa ofisin simu ina ringtone utadhan ni recorded wakati wa tendo la ndoa!

Jaman jifunze kuweka ringtones za heshima hasa mnapokuwa maofisini.

Kuna wengne wanaweka hiphop na nyimbo nyingne za ajabu simu ikiita utadhani redio imewashwa hasa zile za mchina zenye spika kubwa
 
Huku wamekusikia,uwe unawaambia na huko ukisikia hizo simu zinaita maana si wote members humu!
 
Siamini mapenzi yanaweza kuua cjui nini na nini aaaagggr" huyu offic mate wangu ni mzee naonaga aibu kumwambia cpnd hadi basi
 
hii ni free coutry sasa we unataka kulazimisha wote waishi kama unavyoishi wewe? utakuwa sio mzima.
 
hii ni free coutry sasa we unataka kulazimisha wote waishi kama unavyoishi wewe? utakuwa sio mzima.
hapa halazmishwi mtu, ni ushauri tu na ushauri unaweza kuupokea au kuukataa
 
Kuna wale vichaa wanaotumia simu za mchina, ukiwa floor ya kwanza inaita hadi wa floor ya 5 anasikia.

Kwanini wasiweke vibration?
Hizo siyo simu, hizo ni redio zenye simu.
 
Kwaiyo uyo kijana wa ofisini umeshamwambia au jf panatosha kuondoa kero unazopata ofisini kwako!
 
Kwaiyo uyo kijana wa ofisini umeshamwambia au jf panatosha kuondoa kero unazopata ofisini kwako!

nshamwambia lakin mbish haelewi, akiambiwa anachukia. Naona kawa addicted.
 
Ninakereka sana jaman !sim inaita mpaka ulichokuwa unafanya unasahau kifup wahusika jirekebishen.
 
Simu inaita...."baba katika jina la Yesu Kristo..........."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom