RIMS kwa muonekano mzuri wa Gari

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,093
1,897
Salamu kwenu wadau wa kupendezesha magari yenu upande wa matyres/mguu/kiatu/Rims.

Uzi huu nakaribisha wenye uelewa na dondoo mbali mbali za aina za Rims kwny magari kuanzia size(upana na duara), uimara, mvuto, rangi zinazoendana na aina ya gari yako.

Karibuni wenye uzoefu share maelezo au picha kuhusu sehemu hii muhimu kwny magari yetu.

Karibuni.
1466832061327.jpg
1466832067623.jpg
1466832080463.jpg
1466832086243.jpg
 
Natarim za sport za landcruise tundu 6 sh ngp
Sport rims gharama sana aisee. Inabidi uwe na hela ya ziada. Ka mfano wewe unataka size gani? Ila andaa M2 hivi kwa zote 5 (1 spare)
 
Back
Top Bottom