Wakuu habari zenu?
Nilinunua tv ya mtumba aina ya sharp 32 inches , TV naipenda na sina mpango wa kuipiga chini hivi karibuni ila changamoto ya hii tv ilikuja bila rimoti na nimetafuta bila mafanikio lakini sipati remote yake.
Natumia kifaa chenye infrared port lakini sion kabisa ikikonect, Pia nimejaribu universal rimoti moja bila mafanikio , naombeni msaada kokote kule itakakoweza aptikana ata kama pengine mtu anayo na tv ilishaharibika aniuzie.
TV ni Smart TV na model yake ni Sharp lc 32Hi 5332kf model yake
Smart tv hua hazitumii teknolojia ya infrared nikuelekeze tu ni wifi au bluetooth
Kwa hio unatak kusema akuna universal remote ya smart tvSasa izo uneversal Remote ni zipi hizo
Hiki ndio nakitakView attachment 1834818Genuine Sharp Smart TV Remote For LC-32HI5332KF LC-40CFG6002KF LC-40CFG3021KF | eBay
Genuine Sharp Smart TV Remote. - Sharp LED Freeview HD Smart TV's -. Batteries are not included. You will require 2 x AAA batteries to operate this remote. For LC-43CFG6001KF LC-48CFG6001KF LC-49CFG6002KF.www.ebay.com
Sorry mkuu! Unatumia Simu kuwasha TV? Inakua ndiyo remote? How's that possible aisee I've never heard/seen it before🤔Ndio maana tunaotumia simu kuwasha TV simu lazima iwe na infared. Sasa wewe unataka utudanganye
Smart tv hua hazitumii teknolojia ya infrared nikuelekeze tu ni wifi au bluetooth
Simu inakua na infrared and how tv kama haina teknolojia hio Chief-Mkwawa njoo umalize hili,je nikweli kila tv inaruhusu mfumo huoSorry mkuu! Unatumia Simu kuwasha TV? Inakua ndiyo remote? How's that possible aisee I've never heard/seen it before🤔
Yes it's possible, ila tu kama simu unayo tumia ina infrared... Mfano simu za Xiaomi nyingi zina infered.Sorry mkuu! Unatumia Simu kuwasha TV? Inakua ndiyo remote? How's that possible aisee I've never heard/seen it before[emoji848]
endelea kua kilaza jeuri, iyo app inatumia IR blaster Pumbavu weweMnakuaga vibishi pasipo sababu, Toka awali hapo nimekueleza kua tv ya model yangu hairuhusu hii feature mnakua vibish bishi tu kwa hio huyo ni bibi ako naye muwasha apo, acha walioelewa watoe msaada kama waliotoa msipende ligi
View attachment 1834938
Kwenye hizo option 6 hujapata kabisa remote yako hapo mkuu.Mnakuaga vibishi pasipo sababu, Toka awali hapo nimekueleza kua tv ya model yangu hairuhusu hii feature mnakua vibish bishi tu kwa hio huyo ni bibi ako naye muwasha apo, acha walioelewa watoe msaada kama waliotoa msipende ligi
View attachment 1834938
tv za zamani almost zote zina infrared, za kisasa ni bluetooth, wifi na tech zifananiazo.Simu inakua na infrared and how tv kama haina teknolojia hio Chief-Mkwawa njoo umalize hili,je nikweli kila tv inaruhusu mfumo huo
Nadhan wameeelewa hawatv za zamani almost zote zina infrared, za kisasa ni bluetooth, wifi na tech zifananiazo.
Hamjui kituNadhan wameeelewa hawa
Kwa hio unatak kusema akuna universal remote ya smart tv