Rihanna

Kaazi kwelikweli
Karne ya 21
 
Wanaopitia hapo huwa wanamtosa ...
Sijui kwanini.
Yuko too wild nowadays, inaelekea she's hurt.
 
Kweli wakubwa wanafaidi...natamani nikue mie!!!

 
Najua, mimi ni mluguru na huwa tuna msimu wa ngoma pia kama wazaramo ... huo ni msimu wa ngoma, wao wanaita carnival sisi tunaita mdundiko ... same thing. Ila changu utamjua tu hata ngomani. Halafu inaonyesha chini kumekongoroka, ndiyo maana watu huwa wanakula na kutema.
 
Hizo picha ukiwa hujapata siku tele wawezi bamba mtu ktk daladala.
 
Tuwache utani katoto nako ni kazuri bwana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…