Inatakiwa Isomeke3. Kenya is more demoratic comapred to the rst of eastern africa countries!
Kenya wana msajili wa vyama vya siasaInawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila maana anatokea Mt Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2. Inaelekea kuanzisha chama kenya ni process rahii sana siyo kama mizengwe ya Tanzania
3. Kenya is more demoratic comapred to the rst of eastern africa countries!
Raila si alisema kuwa Ruto hakuchaguliwa na wananchi?Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila maana anatokea Mt Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2. Inaelekea kuanzisha chama kenya ni process rahii sana siyo kama mizengwe ya Tanzania
3. Kenya is more demoratic comapred to the rst of eastern africa countries!
Kilimanjaro kwa sasa hakuna mtu anakubalika kama Lissu , wachaga wameshtuka walikua wanauziwa mbuzi kwenye gunia , wapo kimya tu ila maamuzi yao huwa ni magumu.Mbowe aanzishe Chama Cha Mlima Kilimanjaro π
Kenya ukihama chama unahama na Ubunge wako we Mangi ππ
Demokrasia hiyo ...Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila maana anatokea Mt Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2. Inaelekea kuanzisha chama kenya ni process rahii sana siyo kama mizengwe ya Tanzania
3. Kenya is more demoratic comapred to the rst of eastern africa countries!
huenda ni kwasababu hufuatilii siasa za Kenya vya kutosha gentleman,Kenya wana msajili wa vyama vya siasa
mbona hasikiki akitumia rungu lake kama Jaji Mutungi
Nimekutana na habari jamaa wamefungia Free Mason Hall wanadai kodi ya ardhi na jengo Hawa jamaa yaaniInawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila maana anatokea Mt Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2. Inaelekea kuanzisha chama kenya ni process rahii sana siyo kama mizengwe ya Tanzania
3. Kenya is more demoratic comapred to the rst of eastern africa countries!
nimeiona piaNimekutana na habari jamaa wamefungia Free Mason Hall wanadai kodi ya ardhi na jengo Hawa jamaa yaani
muwakilishi wa wananchi atakae thubutu kujiuzulu nafasi yake kwaajili ya chama cha RiGy, uhakika wa kutetea nafasi yake tena ni 0%Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila maana anatokea Mt Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2. Inaelekea kuanzisha chama kenya ni process rahii sana siyo kama mizengwe ya Tanzania
3. Kenya is more demoratic comapred to the rst of eastern africa countries!
Pamoja na kenya kuwa na Ukabila (tribalistic), nafikiri Demokrasia ya Kenya ipo level za Ulaya na America.Inatakiwa Isomeke
Kenya is more tribalistic comapred to the rest of eastern africa countries
Muwage mnasoma Katiba za nchi mbalimbalimuwakilishi wa wananchi atakae thubutu kujiuzulu nafasi yake kwaajili ya chama cha RiGy, uhakika wa kutetea nafasi yake tena ni 0%
zingatia maelezo ya mtoa hoja bila kukurupuka gentleman,Muwage mnasoma Katiba za nchi mbalimbali
Wabunge wanaounda chama cha Gachagua wanahamia na Ubunge wao
Kenya ni next level we mnyasa ππ
Kenya π°πͺ siyo Tanzania bwasheezingatia maelezo ya mtoa hoja bila kukurupuka gentleman,
ameeleza tu iwapo muwakilishi atajiuzulu,
hata hivyo,
kwa katiba ya kenya huwezi kua muwakilishi wa wananchi wa chama A, halafu ukahubiri sera na uelekeo wa chama B.Automatically unakua umejiondoa kwenye nafasi yako
Upinzani wa Kenya na Tanzania ni wa kilofa sana,Kenya π°πͺ siyo Tanzania bwashee
Kenya wanalinda Haiti ππΉ wewe kuendesha Lori Qatar πΆπ¦ umefeli mtihani π
Taifa lolote huanzia kwenye Clan kwa mfano TAIFA LA ISRAEL ππUpinzani wa Kenya na Tanzania ni wa kilofa sana,
eti kachama kamoja tu tena ka mount kenya pekeyake au kachadema tu kana bwekabweka na kukoromea muungano wa chama tawala wenye vyama zaidi ya 10.
huo ni ulofa wa kisiasa wa gridi ya Taifa gentleman
clan ya chadema kwa mfano,Taifa lolote huanzia kwenye Clan kwa mfano TAIFA LA ISRAEL ππ