...lakini mashaka yanakuja kwa sababu hii issue ilivyovuja mara ya kwanza (na Dr. Slaa) hawakujibu lolote, hata baada ya Mtikila kuongeza ndio anasema anaweza kumueleza Dr endapo 'atahitaji'.Mwanzoni alisema anaweza kueleza namna alivyopata hizo hela!!. Whether he is a millionaire or billionaire jamii inataka kujua amewezaje kupata huo utajiri na kama njia aliyotumia inakubalika ama la!
kwa hiyo mbowe ameanza kukamata hela leo kama unavyopumba hapa? Mbowe ni mamilionea kabla ya kufanya siasa the same to ndesamburo na pia hawajafanya siasa upande wa CCM ambao mfumo unawapa makulaji.Jamani kwani mbowe si milionea pia, na yeye alizipataje? Press conf. ameachiwa slaa (Dr wa kuhubiri).
sio halali kuwa bilionea manake hata kwa kazi gani ya hapa Tz haiwezi kukupa mabillioni considering hakuwa mfanyabiashara.(i like this:Mubaraka and his sons wanashikiliwa ,mkumbushe RZ 1 kama amekutuma hapa)Nimegundua sisi watanzania tuna kurupuka sana, mpaka sasa sioni kama kuna hoja hapa. Kama kuna mtu hapa ana ushahidi wa kiintelijensia kuhusu uhalali au isivyo-halali kwa milions za first son RZ1. Otherwise wote tunatafuta milions na yeye kaziwahi,tulie tu.
kwa hiyo mbowe ameanza kukamata hela leo kama unavyopumba hapa? Mbowe ni mamilionea kabla ya kufanya siasa the same to ndesamburo na pia hawajafanya siasa upande wa CCM ambao mfumo unawapa makulaji.
Kufanya siasa upinzani sio mchenzo unaweza kufa njaa incase humwoni Tambwe alivyofanywa na njaa??
Rz 1 KUNA HOJA ANATAKIWA ATUJIBU iwe leo au baada ya baba kuondoka na hapo ndio atajuta kuokota chupa za maji ya uhai ni kazi au ajira?