Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Huwezi jua!! Ile familia ina mahawara wengi kila mahali kama vibanda vya mpesa, hata hawara angu huwa ananiita Mume.Jinga Sana,badala umuombee hicho cheo Mumeo/babako unamuombea rizmoko.
Dah.Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano...
Wala hana mpango huo kabisaKutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeua mkuuHuwezi jua!! Ile familia ina mahawara wengi kila mahali kama vibanda vya mpesa, hata hawara angu huwa ananiita Mume.
Kwa lipi awe raisi?
amewahi kufanya lipi?
Ana historia gani ya utendaji hadi awe raisi?
Acha bange ndugu uendawazimu umekuzunguka!
Labda raisi wa wakwereKutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.
Mama Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.
Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?
Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi.Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.
Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.
Tanzania haijawahi kuwa na Rebel Leader ( Muasi wa Kivita ) au War Lord ( Mbabe wa Kivita ), ila GENTAMYCINE nakuhakikishia na nawataarifuni mapema tu kuwa Ridhiwani Kikwete au Paul Makonda wakiwa Marais nchi hii hawatadumu, nitawatesa na Kuwasumbua mno Kivita kwani nina nchi Mbili najua zitanipa 'Sapoti' ya kuwa 'Muasi' na hawatodumu Ikulu.Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.
Mama Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.
Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?
Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi.Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.
Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.
Wacha ujinga huo fanya mambo maana. Nani kakuambia kuwa Ridhiwani ana uwezo wa uongozi? Ubunge wenyewe ni baba yake anamsimamiaKutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.
Mama Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.
Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?
Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi.Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.
Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.