Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ame-practice katika Mahakama gani Tanzania? Kesi ipi hasa?
Ni Wakili Mkuu tangu mwaka 2009,miaka minne tangu amalize chuo 2005ivo ridhiwani ni wakili? mbona sijawahi kumsikia
Ni Wakili Mkuu tangu mwaka 2009,miaka minne tangu amalize chuo 2005
Sijui hata moja ima mashuhuri au ya kawaida Mkuualisimamia kesi gani mashuhuri?
And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ame-practice katika Mahakama gani Tanzania? Kesi ipi hasa?
Mkuu hizo ni sifa za mda tu, na hutazisikia tena mara baada ya uchaguzi mkuu unao tarajiwa kufanyika 2015. Ritz-moko nimesoma nae namwelewa vizuri sana ni kilaza kama .................... yake.
Hao ndio wanaopiga pesa ndefu kuliko hao Mawakili unaowajuwa wewe ambao ni Wasomi na Mawakili wa kweli, Ridhiwani ni type ya matapeli ambao wanatumia Taaluma ya sheria kujipatia mikataba haramu yeme malipo kufuru.ivo ridhiwani ni wakili? mbona sijawahi kumsikia
Sijui hata moja ima mashuhuri au ya kawaida Mkuu
mpaka 2015 ifike atakuwa ashakuwa jaji
Hao ndio wanaopiga pesa ndefu kuliko hao Mawakili unaowajuwa wewe ambao ni Wasomi na Mawakili wa kweli, Ridhiwani ni type ya matapeli ambao wanatumia Taaluma ya sheria kujipatia mikataba haramu yeme malipo kufuru.
Usije kushangaa hata kidogo ukija kuambiwa hiyo kampuni aliyojiunga nayo ndio imepewa mkataba wa kuwa kampuni ya Uwakili na BOT na Tanesco.
Huku tunakokwenda sheria ya utaifishaji haikwepeki ni lazima irudi, ukiwa na Rais dhaifu kama huyu ambaye anashindwa kumdhibiti mwanaye au ni yeye ndio anayeyafanya haya yote kwa kutumia kimvuri cha Mtoto wake ni hatari sana.
Sipati picha JK Nyerere angekuwa na ubinafsi huu sidhani hata kama kina Makongoro wangegombea hata Ubunge kutafuta vipesa vya kujikimu, maana kampuni kama DT Dobie, Scania, Toyota zingekuwa zote mali za Makongoro Nyerere, na Saint Marys school zote ingekuwa ni miradi ya Mama Maria Nyerere.
Alisoma kwa bidii wapi? sema uoneshwe ushahidi Mawakili wa kweli waliopractice Law na mpaka leo hata vimkweche vya kuendea Mahakamani hawana uwezo wa kununua sembuse huyu unamuongelea huyu Nibebee nibebee nibebeee nibebee nibebeeee Baba JK nibebee mwanao Prince niwe Millionaire.Tatizo watz majungu,fitna,wivu na umasikin wa kufikir.alisoma kwa juhud leo kapata mnaleta maneno.tubadirike