Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,555
- 15,002
Mbona kanuni ni rahisi tu? As they say, “If you can’t stand the heat, get out of the kitchen”!Hapa tunazungumzia namna ya kuhimili presha huenda tuhuma za kweli au za Uongo andiko langu ndo maana nikasema tuhuma nyingine zinaweza kua kweli tuko kwenye kuhimili presha mtoto wa mseveni wa Uganda unamuona?
Wamekutuma?.Nikikumbuka Ridhiwani kipindi akiwa mtoto wa rais alikua na tuhuma nyingi sana kiasi kwamba nyingine kwa akili ya kawaida unaona ni Uongo kama ya madawa la kulevya china huu ulikua ni Uongo mtoto wa Rais heti hasipige michongo ya uhakika kumiliki migodi na mambo mengine yaje kua madawa ya kulevya ?Hii akili yangu iligoma sio kwamba tuhuma nyingine nazitete au sio za kweli nyingine za kwale zipo.
Sasa kuhimili presha kama ile sio poa wengi tunajua sijawahi kuona wakikanusha kwenye media sio mchezo hii kwa Sasa ndo anaweza kua anapiti Abdul presha ya maneno ya watu tuhuma nyingine ambazo hata wewe unaweza kua unashangaa kuhimili presha kama hizo walizima huwe na Wisdom sana.
😂😂Linda tako hilo dogo...
Unahimili presha kwa sababu unalazimishwa au unashauriwa unyamaze kwa maana ukijibu utakuwa umelikuza jambo na kuonekana ni kweli !Kuhimili presha sio jambo rahisi
Nikikumbuka Ridhiwani kipindi akiwa mtoto wa rais alikua na tuhuma nyingi sana kiasi kwamba nyingine kwa akili ya kawaida unaona ni Uongo kama ya madawa la kulevya china huu ulikua ni Uongo mtoto wa Rais heti hasipige michongo ya uhakika kumiliki migodi na mambo mengine yaje kua madawa ya kulevya ?Hii akili yangu iligoma sio kwamba tuhuma nyingine nazitete au sio za kweli nyingine za kwale zipo.
Sasa kuhimili presha kama ile sio poa wengi tunajua sijawahi kuona wakikanusha kwenye media sio mchezo hii kwa Sasa ndo anaweza kua anapiti Abdul presha ya maneno ya watu tuhuma nyingine ambazo hata wewe unaweza kua unashangaa kuhimili presha kama hizo walizima huwe na Wisdom sana.
Mkuu bado biashara ya bolt unafanya? Nilipitia post yako mahali n8kahamasika. Ila bolt ni wezi *****. Nje ya mada lakinivitoto vya 2000 hivyo wala usipoteze energy yako kumjibu...hana analo jua kuhusu yanayo endelea...si ajabu hao anao wazungumzia anawasikia tu kwa majina...!
ndio...unahitaji kujua nini kwenye bolt...? wamekuibia nini...?Mkuu bado biashara ya bolt unafanya? Nilipitia post yako mahali n8kahamasika. Ila bolt ni wezi *****. Nje ya mada lakini
Mimi unafikiri ni mdogo sio wakati katibu wa chama chadema akiwa Padre slaa kiufupi tunasema
Muhimili presha kama Ilivyokua kwa Jeska Magufuli na matokeo ya shule
Wewe unawajua?!!!!!!!vitoto vya 2000 hivyo wala usipoteze energy yako kumjibu...hana analo jua kuhusu yanayo endelea...si ajabu hao anao wazungumzia anawasikia tu kwa majina...!
hapana mkuuWewe unawajua?!!!!!!!
Mijinga hiyo a.k.a mipoyoyo, yenyewe baada ya kuwashindwa Kila kitu ndo imefikia Hali hiyo. Kina ridhiwani wanawapotezea tu sababu wanawaona ni mafala tu.Huu Uzi sio wakujadili ukiwa na chuki hapa namna gani kua na uvumilivu wa pesha wewe tu aya maandishi yamekufanya panic hivi ndo maana huwezi kunielewa unaona mtoto wa mseveni anachofanya kwenye mitandao?
Jifunze kuandika Kwanza.heti hasipige
Tuna marafiki ni wanzinzi Wauza bangi lakini sisi hatuko ivyo